Lyrics throuple - Sketch The Artist
(Managemente
Synergy)
Sketch
The
Artist
on
the
beat
Wanasema
ati
niko
kwa
throuple,
ju
mi
ndio
nahang
nao
(throuple)
Maboyz
wote
waliwafumble,
so
mi
ndio
nabaki
nao
(fumble)
Wakituspot
tuko
watatu,
marepost
hapo
gram
(three)
Wananiuliza
vile
nawahandle,
mi
nawashow
tu
si
hard
(aje)
Wanasema
ati
niko
kwa
throuple,
ju
mi
ndio
nahang
nao
(throuple)
Maboyz
wote
waliwafumble,
so
mi
ndio
nabaki
nao
(fumble)
Wakituspot
tuko
watatu,
marepost
hapo
gram
(three)
Wananiuliza
vile
nawahandle,
mi
nawashow
tu
si
hard
(aje)
Uh,
kijana
amekuwa
bazenga
Wanadai
kuskia
kenye
nitasema
(zenga,
nitasema)
Siri
gani
naeza
wapea,
ati
niwaachie
nikilemewa
(tupee)
Ha
(ha!!)
Zima
hiyo
kitu
bruh,
muniwache
niskie
tu
raha
(zima
hiyo
kitu)
Hata
ukituona
vile
tuko
hivi
tushakubali
tunago
far
Tenda
wema
pewa
tako,
so
mi
natenda
mara
mbili?
(mbili?)
Nifanye
kazi
nitoe
jasho,
tena
niifanye
mara
ya
pili?
(mara
mbili?)
Ati
siwezi
fikiria
in
singular,
lazima
nifikirie
kwa
wingi
(two)
Sa
nitafanyaje
mmoja
atikata
raw
na
mwingine
anadai
na
cd?
(Na
ni
triosome
bana!!)
Ati
magizani
kichwa
imesandwichiwa
katikati
ya
hizo
vifua
Nahitaji
pillow
ya
nini?
Hata
blanketi
nilishatupa
(kitambooo)
Ukiona
wananona
vizuri,
jua
tu
ni
mi
wanakula
(nawalisha
man)
Mmoja
ananipea
massage,
mwingine
ananishuka
matuta
Wanasema
ati
niko
kwa
throuple,
ju
mi
ndio
nahang
nao
(throuple,
nao)
Maboyz
wote
waliwafumble,
so
mi
ndio
nabaki
nao
(fumble,
nao)
Wakituspot
tuko
watatu,
marepost
hapo
gram
(three,
gram)
Wananiuliza
vile
nawahandle,
mi
nawashow
tu
si
hard
(aje)
Wanasema
ati
niko
kwa
throuple,
ju
mi
ndio
nahang
nao
(throuple,
nao)
Maboyz
wote
waliwafumble,
so
mi
ndio
nabaki
nao
(fumble,
nao)
Wakituspot
tuko
watatu,
marepost
hapo
gram
(three,
gram)
Wananiuliza
vile
nawahandle,
mi
nawashow
tu
si
hard
(aje)
Haram
joh,
nawashuffle
Na
bado,
ndio
nabuckle
Nikusample,
double
double
Na
siwachi,
i
want
trouble
I
dont
want
peace,
i
want
problems
I
dont
want
one,
I
want
all
them
You
see
me
where
you
saw
them
I'm
gon
pick
up
when
you
call
them
"Hallo,
hallo.
Unadaisha
form?"
(ehh)
"Ah,
hiyo
ni
poa,
si
utume
doh..."
(wazi
wazi)
"Si
kwa
hii
wacha
nikupee
ingine...
eh
eh,
0-7-0-4..."
Ding
ding,
kashaingia
ah
walahi
ametuma
500
(ding,
for
real)
Sa
si
umshow
hauwezi
make,
unanyesha
kwanza
heavy
flow
(ha
ha,
ha)
Naweza
zoea
hii
maisha,
si
terrible
(walahi)
Ni
matibabu,
na
si
medical
(si
medical)
Ni
mahesabu,
bila
decimals
(bila
decimals)
Lakini
nyinyi
mkuwe
respectable
Maswali
mingi
muwachie
mafederals
(man)
But
mkitaka
kujua
vile
mimi
nafeel
ha!
Sensational
Wanasema
ati
niko
kwa
throuple,
ju
mi
ndio
nahang
nao
(throuple,
nao)
Maboyz
wote
waliwafumble,
so
mi
ndio
nabaki
nao
(fumble,
nao)
Wakituspot
tuko
watatu,
marepost
hapo
gram
(three,
gram)
Wananiuliza
vile
nawahandle,
mi
nawashow
tu
si
hard
(aje)
Wanasema
ati
niko
kwa
throuple,
ju
mi
ndio
nahang
nao
(throuple,
nao)
Maboyz
wote
waliwafumble,
so
mi
ndio
nabaki
nao
(fumble,
nao)
Wakituspot
tuko
watatu,
marepost
hapo
gram
(three,
gram)
Wananiuliza
vile
nawahandle,
mi
nawashow
tu
si
hard
(aje)
Huskii
sasa
tushakula
Sketch
tuko
hapa
nini...
tuko
hapa
Ndio
tunatoka
Benjis
Tunatoka
Benji's
Hiiiii
Tukakula
fries
Sketch
sijasahau
umeniambia
nikuje
uchi
By
the
way
mbona
umeambia
hivyo
Joy?
Unataka
kuona
Joy
uchi?
Nilijua
ananipenda
Na
nilijua
tu

Attention! Feel free to leave feedback.