Lyrics S'Yolala La - Skwatta Kamp
Aliepanga
ni
manani,
Shida
na
riziki
zangu
Aliezitupa
gizani,
Shida
na
tabu
zangu
oooh
Aliepanga
ni
manani,
Shida
na
riziki
zangu
Aliezitupa
gizani,
Shida
na
tabu
zangu
oooh
Nasimama
na
mola
kwa
kila
jambo
lile
nitendalo
Maneno
ya
watu
bakora,
yalinichapa
nikaumia
Lakini
machozi
machozi
nilolia
zamani,
yashafutika
Japo
simanzi
majonzi
yalojaa
moyoni,
nikikumbuka
Nilishaambiwa
zamani
kinyago
uchongacho
hakikutishi
ng'ooo
Ndio
maana
nasimama
na
aliepanga
Aliepanga
ni
manani,
Shida
na
riziki
zangu
Aliezitupa
gizani,
Shida
na
tabu
zangu
oooh
Aliepanga
ni
manani,
Shida
na
riziki
zangu
Aliezitupa
gizani,
Shida
na
tabu
zangu
oooh
Ukitazama
kwa
macho
yako,
huwezi
kumjua
mwema
Mateso
yako
furaha
yao,
tena
mengi
watasema
Moyo
wa
mtu
kichaka,
mengi
yalo
fichika
Unaemdhania
mwema,
kumbe
mchawi
kwako
Nilishaambiwa
zamani,
kinyago
uchongacho
hakikutishi
ng'oo
Ndio
maana
nasimama,
na
alilopanga
Aliepanga
ni
manani,
Shida
na
riziki
zangu
Aliezitupa
gizani,
Shida
na
tabu
zangu
oooh
Aliepanga
ni
manani,
Shida
na
riziki
zangu
Aliezitupa
gizani,
Shida
na
tabu
zangu
oooh
Aliepanga
ni
manani,
Shida
na
riziki
zangu
Aliezitupa
gizani,
Shida
na
tabu
zangu
oooh
Aliepanga
ni
manani,
Shida
na
riziki
zangu
Aliezitupa
gizani,
Shida
na
tabu
zangu
oooh
Attention! Feel free to leave feedback.