Slovak Radio Symphony Orchestra feat. Peter Breiner - Kenya (Olympic version) Lyrics

Lyrics Kenya (Olympic version) - Peter Breiner , Slovak Radio Symphony Orchestra



Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na udugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
2)
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda
3)
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani




Slovak Radio Symphony Orchestra feat. Peter Breiner - Complete National Anthems of the World, Volume 4: Guadeloupe - Kyrgyzstan




Attention! Feel free to leave feedback.