Tunda Man - Chozi Lyrics

Lyrics Chozi - Tunda Man



Chozi Lyrics. Wanawake mna mioyo
Tena ya uvumilivu
Mwanamke akipenda
Anabeba makali maumivu
Hata kama ukimtenda
Mwenzako moyo wake unavumilia
Anaweza kakuchekea
Kumbe moyoni anaumia
Penzi ni kama siti la basi
Ukitoka wenzako wanajinafasi
Usiombe mwanamke aseme basi
Kamwe hawezi kukuridia
Mwanamke akipenda
Anapenda kiukweli na haigizi
Anaridhika na mmoja alonae
Hana tabia za wizi wizi
We la mwanamke chozi (Chozi)
Ah lichunge lisidondoke (Chozi)
Ah lidhamini chozi (Chozi)
Ah lichunge lisidondoke (Chozi)
Mwanaume rijali anajishusha
Hata kama kosa sio lake
Mwanaume hafai kukurupuka
Kosa kuwapiga wanawake
Ah Uchebe, mwanaume kujiamini
Kuwa na pisi moja ya kuaminia
Usiwe kama Almasi
Anawazalisha anawakimbia
Bora uwe ma J
Kamvisha pete hamuoi haongei
Lulu kama kelele husogei
Dakika tisini mechi kali hukosei putululu
Mwanamke akikuvulia na akikununia
We hela inatosha
Ogopa sana akikununia
Na akikwambia we inatosha
We la mwanamke chozi (Chozi)
Ah lichunge lisidondoke (Chozi)
Ah lidhamini chozi (Chozi)
Ah lichunge lisidondoke (Chozi)
Akikasirika we mbembeleze, yeiye mbembeleze
Akikasirika we mnyengeze, we mnyegeze
Eeeh we mbembeleze, ayaa we mdekeze



Writer(s): Khalidi Ramadhani


Tunda Man - Chozi
Album Chozi
date of release
17-10-2020

1 Chozi




Attention! Feel free to leave feedback.