Tunda Man feat. Nay Wa Mitego - Vita Ni Vita Lyrics

Lyrics Vita Ni Vita - Nay Wa Mitego , Tunda Man



Na baba yaga
Kwenye huu utata
Haya twende,anza kujitetea
Mesen Selekta
Alianza mwenyewe kunitumia message
Morning shem
Na mi nikamjib, nika reply Morning
Mana niko mwenywe
Ghali anipokelei chochote twende sehemu
Na mi nikamuuliza humwambii bwana ako kwanini
Akajibu yuko busy
Me maswali mengi nisiulize
Anatafuta bwana amtulize
Kama sio mimi mwengine
Okay, me naomba niulize
Najua mwanangu uko bize
Hasa bora mimi nimtulize
Au aende kwa mwengine
Unataka tugombane, si ndioo
Kisa huyo demu, si ndioo
Tufarakane, si ndioo
Kisa huyo demu, si ndioo
Aahh unataka tugombane, si ndioo
Kisa huyo demu, si ndioo
Tufarakane, si ndioo
Kisa huyo demu
Huu ni ugomvi hii ni vita
Bora mwengine angepita
Rafiki wa damu kabisa
Na unajua jinsi alivyo nishika
Kiangazi masika kila dakika
Wa kupakua na kupika
Kwanini hukusema mwanzo ukanificha
Leo damu itamwagika
Unajua uchungu wa kupenda wewe (I'm sorry)
Mganga kujiganga mwenyewe (I'm sorry)
Nishawai kugombana na wewe (I'm sorry)
Sasa leo nazaa na wewe (I'm sorry)
Unataka tugombane, (ndioo)
Kisa huyo demu, (ndioo)
Tufarakane, (ndioo)
Kisa huyo demu, (ndioo)
Aahh unataka tugombane, (ndioo)
Kisa huyo demu, (ndioo)
Tufarakane, (ndioo)
Kisa huyo demu (ndioo)
Hehee, wanasema abiria chunga mzigo wako
Mke wa mtu sumu
Sasa ukijifanya una maziwa
Dawa yako ni mafuta



Writer(s): Khalidi Tunda


Tunda Man feat. Nay Wa Mitego - 2022
Album 2022
date of release
22-07-2022




Attention! Feel free to leave feedback.