Lyrics Niroge - Vanessa Mdee
Raha
ya
nyumba
mwanaume
Wacha
nikutunze
Nyumba
yetu
tuipambee
Hapo
nyuma
tulishindiaga
mabwende,
karanga
na
makande
Ugali
dona
sembe
Usinune
kwa
maneno
ya
majirani
wanoko
Hawaishi
longo
longo
Ni
maneno
kama
viroboto
wanakesha
wakiomba
unichapage
mkong'oto
Jamanii
sielewi
Baby
you
are
Ukimuona
furaha
Tele
moyoni
Nkimuona
tabasamu
usoni
×2
Naomba
muniroge
Naomba
muniroge
Kwani
mapenzi
matamu
×2
Sikusifii
we
mwanaume
nguzo
Ulishndaga
vikwazo
tangu
mwanzo
Ulipambna
na
wenye
nazoo
Ili
niwe
Mali
yako
Leo
kula
vyako
You
are
my
dreams
in
my
life
hata
mie
moyoni
we
ndio
unanifaa
Usinune
kwa
maneno
ya
majirani
wanoko
Hawaishi
longo
longo
Ni
maneno
kama
viroboto
wanakesha
wakiomba
unichapage
mkong'oto
Jamanii
sielewi
Baby
you
are
Ukimuona
furaha
Tele
moyoni
Nkimuona
tabasamu
usoni
×2
Naomba
muniroge
Naomba
muniroge
×2
Kwani
mapenzi
matamu
×2
To
the
left
to
the
right(spending
my
life...
kwani
mapenzi
matamu)
Ukimuona
furaha
Tele
moyoni
Nkimuona
tabasamu
usoni
×2
Naomba
muniroge
Naomba
muniroge
×2
Kwani
mapenzi
matamu
×2

Attention! Feel free to leave feedback.