Wakadinali feat. Abbas & Khaligraph Jones - High Noon Lyrics

Lyrics High Noon - Wakadinali , Abbas



Nimelay lowkey, niliangusha padlock
Saa hii natoa lock na mikono za Hancock
Waliagiza tots, wakapewa maheadshot
One, two, three
Niko fresh bila Prince, uncle hanifeel
Aunt Vivian na Hillary si wako na bills
Ata ka sijawajazz, bado nachill
Mi sio Jeffrey lakini nadeliver at will
Actually, hii ni rap for real
Khaligraph, Wakadinali na Abbas Ku-B
Yeah, naamka mapema lately
Siwezi mwaga unga juu mkate ni basic
Manna toka heaven, ladha yake ni tasty
Son, blessed nilikuwa tangu the '80s
Naweza sound corny nikisema self-raising
Usimind, hii grind yangu huwanga amazing
To be or not to be, I have to be
Doobeez or not Doobeez, Abbas Kubaff
Kong kong!
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni
Na rende inaride through
Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu
Naplan kuwa tycoon
Guess ni wodo inapairu kushinda titration
(Testing what?) My crew
Nilibuy ngware kindukulu ('sssh sssh)
Ndio nikuwe na high noon
Check, listen
Nina miaka kadhaa kwa game na mpaka sasa hawanigusi
Wacha tudistinguish nani rapper, nani pussy
Nani shark, yaani papa, nani sushi
Juu maboy niliinspire ndio mpaka sasa wananitusi
But come to think of it, ndio rap iko
Kudisagree ni rapper mgani ataeka verse mwisho
As long as unaweza roga, mistari zimetosha mboga
Na rhyme scheme iko in order, na uko tactical
Then its kids' play, easy, whether last ama kwanza
Haswa hii mbogi yangu ni ya maras na wajanja
We ni snitch, unadhani mbona si hukushuku
Kutuseti ndio zako juu ya marupurupu
Leave you in a coma, hapana alama ya dukuduku
Na tukuteke kila kitu ubaki tupu tupu
Na siwezi mwaga unga na nakula mboga usiku
Na ka si ndeng'a, pia siwezi kosa kisu (brr!)
Mambleina wanazua, hawawezi kosa issue
Industry ina mapirate, utadhani Mogadishu
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni
Na rende inaride through
Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu
Naplan kuwa tycoon
Guess ni wodo inapairu kushinda titration
(Testing what?) My crew
Nilibuy ngware kindukulu (ss! Ss!)
Ndio nikuwe na high noon
Eey, si uongo, "Bang bang" na utagenya jiji
So watoto wadogo, "Gang gang" ndio kusema nini?
Mm, naona ni kama nyi mnaplay na mimi
Lakini swali bado ni moja, tutapenya lini?
So my broda, enjoy your days
Juu tushajua vile itaisha, either in jail or dead
Uh, the radio don't play me so I play my way
Anyway, my father told me, "No pain, no gain"
Juu bado tuko underground na sichoki
Sidhani hii ni music, man, ukinicheki na kipochi
Sisoti, sikosi
As in, mlinimisjudge juu mlinicheki
Na kitaxi na kichoki
Yo, so if I die
Usisahau kuambia that I lived my life
Yo, Scar a.k.a Mr Rizz Mangwai
Mi hujuanga nawaumiza mbaya, eh
Niko kwa gari ndani ya vitongoji duni
Na rende inaride through
Ata mitaa za mbali si hupiga scene tupu
Naplan kuwa tycoon
Guess ni wodo inapairu kushinda titration
(Testing what?) My crew
Nilibuy ngware kindukulu '(sssh sssh)
Ndio nikuwe na high noon
Mara better ni ka dera
Mara juzi niliona hadi Vera
Mara zimenirunda Kibera
Mara zimenirunda kivela
Hakuna venye utajifanya hutusikii
Venye ni si tunaboss
Unaonekana we ndio mbleina
Kila beat tuko strapped na ki-Jesus piece
Tukifinish hatuonekani tena
Trap, trap, bila burden
Trap Nai, Kitisuru na Karen
Peleka wazimu Mathare
Hatubongi ka haulipi
Hiyo stori ni usare
Samahani sana, venye maneno haiwezi vunja yai
Chungeni mbuzi zenyu, kitu ya mtu si rule yangu
First day alikuja then na boyfriend
Saa hii anaspend time kwa room ya mine
Amini msiamini, ndugu zangu
Thanks God, kwa baby steps naona nikiomoka
Since baby steps niliona nikiomoka
Hawalali, wanadhani ati Khali alikuwa amenitoka
Nimechizi as if wachape bangi, madam, hii lungi in-burn
Nipe Jesus piece, Babylon army ndio ninabang
Mi ndio bigger beast, fanya hadi padri dhambi na gun
Hapa hacommit, tisha babi, walami, zombie inakam



Writer(s): Brian Robert Ouko Omollo


Wakadinali feat. Abbas & Khaligraph Jones - High Noon
Album High Noon
date of release
25-09-2019




Attention! Feel free to leave feedback.