Wakadinali - Intro Lyrics

Lyrics Intro - Wakadinali



Wakadi-wakadinali yeah yeah, yeah yeah
Leo imekuwa siku fiti joh
Nimechill mtaani na mamorio
Wowo, hakuna ma popo
Hakuna usoso story ni waroro-roro
Leo imekuwa siku fiti joh
Nimechill mtaani na mamorio
Wowo, hakuna ma popo
Hakuna usoso story ni waroro-roro
Fake it adi you make it hadi deal ikam through
In fact fake it adi market iyo dream ikam true
Cheki Munga, Renengade niko na vigilant crew
Tumejihami ka wale brigade wa American Troop
Haters washaikam samo tuwajengee jerrican soup
Huyo kijana wa ufala ka zile Tom and Jerry cartoon
Lazpit ni kalbashire aitishe ndom kwa ferry cartoon
Vile naroga ni kama fom za izi za boom
Siku nilivaa Gucci walidai ni vako za ushamba
Ndio maana huwa sirogangi vitu za ng'ambo na Slagger
Hata Yesu alikuwanga God of the humble na pagan
Ni ka ni adventure kina George King of The Jungle na Tarzan
Leo imekuwa siku fiti joh
Nimechill mtaani na mamorio
Wowo, hakuna ma popo
Hakuna usoso story ni waroro-roro
Leo imekuwa siku fiti joh




Wakadinali - Haitaki Hasira
Album Haitaki Hasira
date of release
26-01-2022




Attention! Feel free to leave feedback.