Wakadinali - Tom Chomley Lyrics

Lyrics Tom Chomley - Wakadinali



Tom Chomley
Kuna mat East sidandii
All of my girls ni ma banndii
Wanajua mi ni gwangii
Tom Chomley
Kuna mat East sidandii
All of my girls ni ma banndii
Wanajua mi ni gwangii
Yoh
Gangster ndo face ila naumia
Ju ya venye fine girls huning'ang'ania
Me huuza ka OLX elfu mia mia
Bei ya kutupa zikiumeria
Moti si huziuza Tanzania
Kidogo kwa neighbor aliingia dedi
Nkimedingi hii story me husteady videadly
Dosh niliichapa chapa ikatingika jegi
Matha alinifunzanga
You need to finish your veggies
Hii ni sweet na si fruit juice
Wala hatujamwagia yoghurt ndani ya biscuit
Rong rende mjini wanaroganga na pistols
Manzi yangu hakunywi
Ila huninoga ndani ya bistrol
Tom Chomley
Kuna mat East sidandii
All of my girls ni ma banndii
Wanajua mi ni gwangii
Tom Chomley
Kuna mat East sidandii
All of my girls ni ma banndii
Wanajua mi ni gwangii
Spliff noon si ndio wickidest
Very far ndio tuna take it zi izi biz
Kula Mpesa quick three weeks nilidishi
Bar yesa jerrican nili zoza mingi leaks
Madingo wengi hawakuangi wanono
Haswa East google search ukitaka unda kamati
Kuna momo flani hunipendapenda
Juu niko busy alisema unaandikanga ngoma saa ngapi
Nina njuta na ni Brandy
Nina msupa na ni Brandy
Kitu nakunywa na ni Brandy
Usinicross Tom Chomley
Tom Chomley
Kuna mat East sidandii
All of my girls ni ma banndii
Wanajua mi ni gwangii
Tom Chomley
Kuna mat East sidandii
All of my girls ni ma banndii
Wanajua mi ni gwangii



Writer(s): David Munga Ramadhan


Wakadinali - Haitaki Hasira
Album Haitaki Hasira
date of release
26-01-2022




Attention! Feel free to leave feedback.