Wakadinali - Triple XL Lyrics

Lyrics Triple XL - Wakadinali



Triple XL ndio jacket
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tuned mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto
Triple XL ndio jacket
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tuned mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto
Mans nilipitia kando
Na wasoro washaandika journal
Ati mans nimegeuka thanos
Kila hustle naingiza muscle
Nyongolo kwa dance floor
Next thing, gunshot
Tulimtoka tu viclean
Before shit joh iget real
Hatuna saa, ata minute
Si ni team no sleep
Pills flani zimerunda mgyalis
Huko Paris Njeri ashakuwa addict
Friday clubbing sunday tunaona padre
Sai tunangoja verdict
Ati ju ya gun tulicarry
Though according to ballistics
Inaonyesha joh ulimiss hit
Na unachocha body count ati
Imefika sitini
Cid walicause kipindi
Ati walikuwa wamekujia mwili
Opp boy dci walikusho ucheze chini
Triple XL ndio jackеt
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tunеd mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto
Triple XL ndio jacket
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tuned mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto
Rongrende ndo logo
Tunawapa moto ka kifaru ndogo
Leta utiaji uingizwe joto
Mshkaji utageuzwa mshkaki na arosto
Ganji me uonanga kwa ndoto
Me sina mchoro man's me niko msoto
Manzi alihepa na mtoto sababu ya bottolo nimebaki na alosto
Stage me upandanga na condom
Girls kamisi wanazirusha random
Ntafanya venye alifanya khal drogo kalisi mother of dragons
Leta mengo me nleta vita
Sababu ka ni damu itatiririka
Ka ni bundles zangu ni magiga
Me si binadamu enda ita jesus
Manzi yako... ye uniita zedi
Ati munga me ni puppy
Pull up na ngeus hatari na wala si mlami her melanin poppin
Nimecome through kama atheist kill
Ndani ya mosque uyo mwarabu ndo racist
Kill kila kitu vi authentic sare dci wakistudy izo forensics
Story na kutoka kehuti... kwani tumekimbiza wangapi
Deep izi streets bila utani ops wako wapi nimejipin ma ukapi
Me uitwa mr ma contrabands na staki mabishano
Me uitwa carlos gambino luck lucian
Triple XL ndio jacket
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tuned mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto
Triple XL ndio jacket
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tuned mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto
Real, hahaa
Yeah
Triple XL ndio jacket
Kama ni ya wadhi haiko kwa market
Fala alikuja na babake, dwanzi
Wote walirudi na ma crutches
Ni visimple boy
Ndio maanake si tuko mabangi
Waragi za masatchet
Msupa but ye huwanga ratchet
Rende ilimdishi tulimfanya buffet
Hii ni rong rende kuma mamake
Kuzoza ni lazima cos nigga we poppin
Mbona unabanja na masanse
Kafanye mpasho unapenda reporting
Bonga hapo insta na usichoke
Lakini hizi streets usitokee
Waliuma bro aiii woishe
Lakini si tulilipa bond now it's okay
Sifuatangi weather (ah ah)
Kwa kila weather nadunganga weather
Pale egesa tunarowesa
Vibe ime we-we-weza
Buda we rush uliza echesa
Ungetulia ni vile huna pesa
Ni hater na ati ananipenda
Hio return to sender
Hii ni ya mamorio anzenza
Wale wameshika mang'ondo
Hii ni ya masupa wamebeba kubeba
This year napita na ronoh
Kimya buda usibonge whatever
Kimya niskize inoro
Kwanza we fala nifanyie favor
Zima hiyo fegi niwashe ki koro
Fuck it, fala tulimpata offside
Ngumi mpaka ameze taxin
Kumbe weh hunanga mdomo
Ukiwa offline
Malappy tuliibanga hostel
Tulienda kuziuza wholesale
Itabidi mmekula mabakshish
Rende ikidishi unajuanga we all fine
So huwezi ni show na mix
Naingiza biashara ndani ya form
Backstage nina mzinga ya chrome
Sigara na jaba ya kariokor
Hio ndio hali ya show
Achana na mimi pambana na hali yako
Siwezi marinate poko
Siwezi jichocha na mareaction
Boom
Triple XL ndio jacket
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tuned mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto
Triple XL ndio jacket
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tuned mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto
Triple XL ndio jacket
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tuned mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto
Triple XL ndio jacket
Nimego local sijaiskia joto
Mi ndio niliplan hizo koto
Mans I made it bila kucheza lotto
Wako tuned mafans fm ya inoro
Off time ya roadshow napiga kigosho
Team kuiondoa kwa msoto is valid
Lazima nidream hiyo ndoto




Wakadinali - Triple XL - Single
Album Triple XL - Single
date of release
12-10-2020




Attention! Feel free to leave feedback.