Willy Paul - Alkaida Lyrics

Lyrics Alkaida - Willy Paul



Aaaah
Oooh
Call me Willy Willy
Willy Pozze
Alkaida,
Nimelipuka kama bomb
Alkaida,
Samahani nikikuboo
Alkaida,
Nitakupiga ukonde boy
Alkaida
(Pozeee)
Alkaida,
Nanukia ka cologne
Nivute kama ndom
Mi ni yule king of flow call me commando
Kazi ni kuimba tu na kumake dooh
Tena ananikalia kuna na aibu Anaogopa sana asipate aibu
Naomba hii imfikie hadi chibu
Na wote wajue kuna jitu
Kuna watu wenye roho mbaya Hawapendi ona ukipenya
But nabisha kila door
Ata waninyonge koo
Mimi ndo the king of flow
And they know
Kwenye mitandao
Nipo tu kila sehemu
Vijijini na mataoni
(Aah kila sehem)
Radio, TV, niko pia kwenye system Ngangari kama root na stem
Alkaida,
Nimelipuka kama bomb
Alkaida,
Samahani nikikuboo
Alkaida,
Nitakupiga ukonde boy
Alkaida
Alkaida,
Najiamini ndume
Alkaida (pozee)
Alkaida na kama ww ni ndume Alkaida(jibu)
Kama kuna ndume naomba nijibu Usifanye tabia za kiaibu
Huyu ni willy paul sio mr ibubu bu
Just incase ulijisahaulisha
Unajaribu kufunga njia zangu za afrika
(Afrika ya mama)
Unasahau wewe sio sio mungu baba
(Sio mungu baba)
Umekwama plan A
Niko plan B
Mungu amefungua njia ata na Cardi B Kuna rihananana
(My rihananana eeh pia)
Alkaida,
Nimelipuka kama bomb
Alkaida,
Samahani nikikuboo
Alkaida,
Nitakupiga ukonde boy
Alkaida
Alkaida,
Nimelipuka kama bomb
Alkaida,
Samahani nikikuboo
Alkaida,
Nitakupiga ukonde boy
Alkaida
Alkaida,
Najiamini ndume
Alkaida(pozee)
Alkaida na kama ww ni ndume Alkaida(jibu)



Writer(s): Willy Paul


Willy Paul - Alkaida
Album Alkaida
date of release
04-01-2019




Attention! Feel free to leave feedback.