Lyrics A New Girlfriend Story - Young Killer Msodoki
Yoh
da
pro,
"Yoh
wassup
bro"
Inakuwaje
my
G,
'Dah
freshi
mbona
usiku
sana
mzee'
Sorry
sana
mwanangu
nina
kipengele
Huyu
Dem
wangu
mpya
mshikaji
wangu
ni
changamoto
'Ah
we
what's
happening?'
Tunaeza
tukaongea
kidogo
hapa?
'Yeah
for
sure'
Okey
Huyu
dem
kila
siku
ana
ball
Mtu
flani
wa
usiku
ndoto
zake
ni
kuishi
Singapore
Ana
shepu
na
vimacho
vya
gololi
Na
akicheza
anasweti
utasema
msukuma
ama
toroli
Anazimia
sana
mapicha
ni
kusnap
na
kupost
Yaani
ku-like
na
ku-comment
daddy
Ana
chuchu
saa
sita,
kifuani
amekatika
Anapopita
maboys
wote
OMG
Alivyoniona
akawaka
ila
mwisho
alizima
Bana
niliomba
mechi
akanipatia
mtima
Yaani
niliomba
nusu
akanipatia
nzima
Safari
nikianzia
Mwanza
naimalizia
China
Kila
party
anafungua
champagne
Usipokwenda
complain
Yaani
home
hapakaliki
no
gain
Allday
but
no
pain
no
gain
Nikajifunza
akawa
akinipa
ki-chain
Nampika
mpaka
naunguza
Namuosha
nasuuza,
tani
napunguza
Na
nam-care
kama
mgonjwa
unaeza
sema
naunguza
Marashi
namnyunyuza,
umbea
ananijuza
Nachochea
huku
ni
speedi
ikiwa
mia
napunguza
Juzi
kavurugwa
na
mashosti
Walimsnap
wakaposti
Akiwa
ndani
ya
dera
hajajikoki
Kavaa
ndala
kabeba
na
pochi
Wigi
alisahau
kwenye
kochi
Katoka
ka
roboti
Kweli
nampenda
ananipenda
Yuko
tayari
kwenda
napokwenda
Ila
siwezi
kwenda
anapokwenda
Ni
beki
mzuri
tatizo
golini
na
machenga
Mtoto
wa
geti
na
kila
club
member
Kinacho
nichanganya
ni
muda
anaopatikana
Namkuta
amechoka
sana
alafu
anasingizia
gym
Asa
mwanangu
jana
kuna
kosa
kalifanya
Na
ule
muda
wa
kuvutana
mi
nikakimbilia
simu
yake
Nmekuta
vitu
vingi
vya
ajabu
huwezi
hata
ukahesabu
Inaweza
ikawa
ndo
sababu
ya
mikosi
Na
taabu
na
sikumpatia
adhabu
sikumshatakia
kwa
babu
Wala
sijaambia
wanangu
wala
boss
Nmekuta
anasex
na
trainer
wake,
SMS
ya
designer
wake
Na
stress
akalale
kwake
kam
miss
Amfuate
kama
ni
mkongo
apake
Kama
ni
shombo
akate,
yaani
akifika
ni
mate
na
ma-kiss
Najua
ni
ujinga
na
upuzi
Ujana
na
ujuzi
inabidi
atambue
haya
mapenzi
Anapenda
sana
movie,
nimejaza
ndani
Ila
kutulia
ndo
hawezi
'Ah
sa
stori
bro...'
'Kwani
usiku
uko
wapi.'
'...'
'Hello
beib'
Ukweli
ni
kwamba
ushamba
umwamba
Najua
kila
mbuzi
anakula
urefu
wa
kamba
Najua
mpaka
mbuzi
anayekula
tunda
na
ganda
Najua
kuwa
juzi
ulikuwa
casino
na
Amber
Wembamba
wa
reli
ila
treni
inapita
Unadanga
unakwenda
Tanga
na
Pipa
Pedeshe
wanakkita,
na
mnapiga
mapicha
Kuuliza
mi
ni
nani
unasema
you're
my
sister
Okey
my
sister,
unachamba
kwa
kulia
kushoto
Mbona
unaswim
maji
ya
ugoko,
unaniletea
utoto
Unanirudia
asubuhi
na
vikopo
Umejaza
mkorogo
na
vipocho
pocho
Ulipotoka
moto
moto
kwa
watu
makatili
Ulivyokuwa
mwepesi
utadhani
table
ya
pili
Unanijaza
mastress
muda
wote
unasafiri
Hayo
ndio
mapenzi
au
kuchoshana
akili
Huh
ni
neno
moja
nalotaka
boo
Unanipenda
hunipendi
basi
nijue
moja
tu
Kuliko
nalia
na
mapenzi
daily
Naskia
juzi
unajiachia
na
sele
Na
wakija
kwako
wanaweka
pesa
mbele
Kama
sina
hadhi
niambie
boo
Mbona
unaniletea
maradhi
na
kunitesa
juu
Kunikondesha
tu,
kunikomesha
tu
Na
kunichoresha
juu
'Beiby
I'm
so
sorry'
'Siwezi
kurudia
tena
please
nisamehe'
Attention! Feel free to leave feedback.