Young Killer Msodoki - Rudia Lyrics

Lyrics Rudia - Young Killer Msodoki



Ehe ee
Eebwana
Mibwana mezaliwa kusema minasema ukishindwa kutafsiri we
Relax labda utanielewa Mwakani for now mama rudia anawatoto wawili
Wapili anaitwa tena nambieni sa wakwanza ataitwa Nani...
Pozi kumpoza chozi kumrenga yani naamua kumposa yule mloamua kumpenda
So kijua ndo hiki usipoanika unautwanga mbichi
Karibu tule ila nenda kanawe Coco beach
Sor umenikuta leo na Bad mood ila zege halilali hii habari iende
Mbali mpka Harwood afu niko serious sicheki na Kima hawaniambii kitu
Kwanza wakisikia kuhusu mimi tu unawaaharibia Siku we usiniharibie
Wasifu Pumbavu hamjui kuchana hamjui
Kushona washamba kuongea hamchoki enough
Am the first and only kipenzi cha hii rap
Mwanza Mwanza nawachia injury Kwa hii rafu msodoki for Hip Hop
Stay on your length my mama
Nikiumia anafeel the same pain am a hustler
Ukicompare galasa mie simo wote navua nguo nusu
Mara kitako Mara kimo afu napita msata mpka chamwino
Sio kila beki ni tatu
Ila kila snitch ni chatu
So kila match ni tafu
Sio kila pesa madafu
Mi akili zangu nichafu
Afu pili mi mtu WA...
Ehe Natia huruma usicheze nami Msukuma
Rudini kwa alowatuma kabla sijawapitia Kwa.
Mnachekesha nyie
I know mi naweza nikakupaka machupa Kwa mgongo wa futa
Naukanyaga tu waya kinanuka
Let me say don't ever let your Dream disappear nilivo haina
Tofauti na mnavonisikia kwanza ukiniwaza unasinzia msodoki the son
Kill yourself
If any ma God is fine
God's plan
Kikubwa pumzi siku hazifanani
Kama Mungu kapanga asanyie akina nanii
Iyo hatakwetu wapo mlipo wapo hawacheki nawe ila we ndo unacheka nao
Hapo usipotumia uwezo wako kuitimiza ndoto
Yako ndo wanatumia uwezo wako kutimiza ndoto zao
You see
Kuingizana mkenge ndo wanadamu
Vile riziki mungu ambavyo anatoa anagawa Zamu ngoja kwanza Adamu
Nijitanue ndo Hawa a come wangejua kua sijisumbui wangetoa jamu
Sometimes yani nikusahau walokusahau shobo zakumix Mrenda kwa pilau
Mwisho inakua jau kwa tulipotoka nahapa tulipo angalau
Na day after day tunapanda dau wanabaki too much sadness
Toka beijing so make sure your heart is blinking waiting Enya
Maisha mafupi tu selebrete watu
Hawamini eti kua mimi napesa tuna date
Ee bwana
Yani huwezi nyimwa ka huombi
Unakosa haukondi
Unasemwa hauchongi
Unamengi haubongii
Unapesa hauongi
Yani nikama hujui unapokwenda kwahyo sehemu ulokuwepo utahisi umefika
Nifunzo hii sauti inaposikika so usipuuze babu wanasema hakuna
Adui mbaya Kama sifa kafanya watu wengi wameabika nakupata tabu
Tulia utapata shavu
Usiisshi Kwa kulenga umasikini unafanya mkipewa pesa muone ndo
Mnapendwa bro kisichoniua kitanikomaza kiaskari naukinichukia
Inadhihirisha mi nimkali mbaya mbaya we jieshimu uheshimiwe ani chuki
Nibure labda mngeomba mungu nsizaliwe ila as long as tuko hai kila
Kitu yechu we umechelewa kunijua labda ungeniulizia kwetu fupi tamu
Amini kwamba inayokera ndefu ishi usimangwe kufa usifiwe shujaa wetu
Aa yeh no misheni without vision
Pesa haziji Kwa maombi pekee fanya kazi
Sometimes nawaza nimekujaje Kwa hiki kizazi cha watoto
Wanaojitundikia vitanzi check wanapandishwa wanalega katakei ona
Matako wazi nami ndo silazi nachapa kazi nafikri iko wazi wajumbe
Ee bwanaa



Writer(s): Erick Msodoki


Young Killer Msodoki - Rudia
Album Rudia
date of release
14-09-2020

1 Rudia



Attention! Feel free to leave feedback.