Young Killer Msodoki - Sinaga Swagger IV Lyrics

Lyrics Sinaga Swagger IV - Young Killer Msodoki



(Here is another one)
Wengi wanakuombea utubu
So piga kazi makini
Maana mtegemea cha ndugu
Heee utakufa maskini
Ndio maisha ya mjini
Changamoto mimi na wewe
Japo tulianza kuwa moto
Kabla ya moto wenyewe
Ndoto yangu ya milele
Sio tu kuimba na kuparty
Maaana mziki ni zaidi ya
Maisha kuvimba na magari
Bro, hii dili hatari
Fans kuja show shida
Wanasubiri ufe
Uweke rekodi ya kujarida
Sa mwelewe wazee mnapunga
Pendeza wezeenu na nyumba
Ata sauti ina paa mzee
Ila huwezi kuwezeka nyumba
Huwezi kung'oa mchumba
Kama hauna doh mingi
Utaishia kujidunga bro
Maana stress ni mingi
Na mawazo kishimule
Kichwani hauna shule
Dem wako anajiuza half na bei ni kama bure
Ndoto ukiwa nayo shule
Hello ndugu na yaya tule
Walo kufa wote ni wajanja ndo maana wamewahi kule
Si since day one tupo zetu
Na wanaume waloshindwa kumpa mimba Wema Sepetu
Bigiri yechu yechu...
Shida, mwisho wa siku tunalia
U superstar mwiba, mzigo wa mwiba tunaubeba tunaumia
Mwanzo niliwaambia, ila kupitia haya mtakiri
Kujiongeza kwenye hakuna, tumizi mbaya la akili
Je hukubali kuuchuna huo upande wa pili
Wasikusemeshe ka mtu hajapiga mswaki wiki mbili
Namkiri ipo wazi hatuhifadhi makua
Kina sisi hatuna target tutoe wapi? Nafuu
Nipeni pasi ninyooshe miguu
Bwana mwane'nu nimejua kuwa dwanzi ndo ako ngazi za juu
"Mara hiphop haiuzi asa hiphop ya juzi kina
Young Killer ndo mnaongoza kutoleta michuzi
Mara hiphop ime loosi ati hatuna ufumbuzi
Akina sisi hatuna Swagga sijui mpaka tufanyeje music"
Huo ni uwongo na mnajua
Hakuna ashindwalo Mungu akitaka inakuwa
Dunia changamoto na maisha ni hatua
Alopitia tangu mtoto mpaka anakua
Mpaka anajua
Raha mechi kibao
Akipata kifua chumvi limao
Sa hivi Simba na anambao
Ndo hashindani
Ila Barcelona Arsenali ndo level za jangwani (Young Africa)
Mbona uwe fahari kwa wenzio
Michezo ya namna hiyo
Hatuikubali ni ya kidem
Ni sawa na kusema we ni mkali wakati sio
Na redio zinakupea promo hatari unauwa game
Asa kipi bora uwe na furaha na umekwazika
Ama uone kinyaa ati uwanja umetapika
Maana ina fahamika
Mziki nao mziki na mchwano ni mkali
Kati ya biashara na hailipi
Biashara imeshindwa la lahaula inang'ara
Wa mabingwa wanalindwa kama Paula Wakajala
Alafu wanatuweka roho juu kwa mikwala
Wakati tunajua hawakosi show tu wanakosa hadi pahali pa kulala
Wasanii uchwara
Wasanii hawajala
Wasanii wana njaa wameshaweka duara
Wasanii mafukara
Bongo wasanii mikwara
Hao wasanii wametia kila kampuni hasara
Bongo noma regeza mjini Babu unachekwa
Uliza Roma kwani alifanyiwa nini baada ya kutekwa
(Well, well) hio ni siri ya kambi
Na kuto waheshimu wakubwa hio ni akili ya bangi
Ila akili ya Mange ni kufunguwa duka
Ila asili ya rangi nyeupe ni kuchafuka
Akili ya msomi ni kujijengea future
Ila akili ya mjinga ni kutaka vyote kwa pupa
Kwa hiyo anakosa vyote
Na siku ndo inavyokuwa show zangu natisha
Ila Izraeli ndo anaye ua
Mungu ndiye anayejua
Upi mwisho wa mimi
So ananipenda ananilinda
Yuko pamoja na mimi
Alafu mi najituma bwana
Nasema mi najituma
Nipate kusimulia nikipata jukuu zangu
Mi ni msukuma bwana
Nasema mi ni msukuma
Ndo kitu me najivunia
Usukuma fahari yangu
Japo nasikia,
Wanasema natoa ngoma hazibambi
... Cjai diss-iwa na Mange
Nakula sana stori lakini sio eti kitambi
Sina shawty ati nitafte kadem rika la Nandy...(alalalala)
Acheni shetani apite
Hoja zingine za kike
Mi mmoja kati wanaofanya hiphop isikilizike
Kwa hiyo staki tungombane
Ya nini tuchoshane?
Usibebe tango lote baby
Kaa vipi tukatiane
Humhumhum
If you love me
Love me and show me your feelings
And if you dont talk you will die alone
Cz always machungu yanabaki kwa watawaliwa
And we need love revolution meeehn.
Hey greatest,
Haha It's time to wake up and watch Young Killer Msodokiii...



Writer(s): Erick Thomas Mganga


Young Killer Msodoki - Sinaga Swagger IV
Album Sinaga Swagger IV
date of release
08-03-2020



Attention! Feel free to leave feedback.