Young Lunya - Announcement (Freestyle) Lyrics

Lyrics Announcement (Freestyle) - Young Lunya



Tatizo ni pale ambapo ananiona
Na wana kibao utadhani ni jeshi
Nakuaga na piece kazi yao ni kucheka
Hata kama kuna kitu hakichekeshi
Unajitangaza una beef na mimi
Wakati level zako za kina Tekashi
Vijembe vyenu havinikondeshi
Nishawalenga na huwa sikopeshi
Wats poppin?
Ona kama vile ukikaa kwenye beat haunati
Mbona naskia mtaani kwako we ni bonya
Unakaaga na piece na ung'ati
Pia nimesikia we ni msee
Wa kugongea gongea jiti au bati
Bahati haupati nakuwaga na manoti
Kama vile niko team ya Hush Puppy
Toa utakavyoweza babangu
Ila mimi huwezi kunitoa
Michano ni mahesabu madogo
Hata yakiwa makubwa tunakopotoa
Naanza za vipi kuwahudumia
Na mshaanza kunyeni napokojoa
So wamekuleta nitakachofanya
Nitakurudisha walipokutoa
I'm killing these rappers nikiwa my zone
Na tupo wengi mimi ni wa more zone
Madebe mjini wanataka more
Nakiwapa more wanachona poni
Mi OMG nitazame usoni
Ni OMG imefanya unione
Bro OMG ni kitega uchumi
So OMG tunarudi soon
Kwanza nawakera wana boss
Papi zao nipo ringtone
Nikiona unaelekea kunijua sana
Na sikufahamu sipokei phone
Na nikiona mnajifanya mnachana sana
Kwa kizungu nawaitia Conii
Kwa kiswahili pambano hakuna
Nawafinya nawatia mfukoni
Najimaintain hata mimi mwenyewe ni gang gang
(Put your head on my shoulder
Put in my hand baby
What I want you...)
Haunikosi kwenye top 20
Kuwa zombie ili ukae 20
Dunia ina mambo ndo ilivyo
Navimba sana ndo nilivyo
Wamekuwa inspired na mimi though
Saa hivi wananidiss ati here we go
I don't really know what is by (That)
Kisa nachana kwa maringo
Na kunipata hamnipati ng'o
Mngejua mngefanya bolingo
Wanajua fika mziki ni mnene
Ila bado bado wanajitutumua
Wengine washasema sitofika mbali
Kisa tunashine na nishawajua
Mambo ya ajabu nakaza kusuka
Mipango wanataka kuifumua
Masihara leta ata kwa wife
Ila kwenye kazi nitakupasua
African gut I be killing them sha!
Wakija mapema nawakalisha sha!
Kuhusu masinema mi ni nguli haswa!
Piga kwenye ulimbo kanasa
Mnanifananishaga na nani sasa?
Vimba oh mpaka tupige msasa
Ukinipenda tunaenda sawa sawa
Ukinichukia si basi sasa
Maana binadamu anaweza akakupenda
Ukiuliza sababu hakuna kwa nini?
Ukiwa mwanangu afu uko unapenda sana
Mambo ya watu nakupiga chini
Wanarundikana wakikosa kazi
Wanadiscuss nitachuja lini
Kuna vitu vya kuviweka bank
Na kuna vitu vya kuweka akilini
Baadhi ya watu wanakuwaga wanoko
Je hata ukimwona anakununia
Ndo yale mambo unakuta DJ
Hapigi ngoma zako na anakuvimbia
Nimeshazoea kupondwa mgongoni
Japo wakiniona wananisifia
Najivunia kuwa mTanzania
Na hii ndo local package ya dunia
We outchea, in the source winning team baby
Kapo, Sheshe, Petty Madi rasta
Tajiri Abass... 77_



Writer(s): Rashid Rashid Lunyalile


Young Lunya - Announcement (Freestyle)
Album Announcement (Freestyle)
date of release
08-09-2020



Attention! Feel free to leave feedback.