Zuchu feat. Diamond Platnumz - Litawachoma (feat. Diamond Platnumz) Lyrics

Lyrics Litawachoma (feat. Diamond Platnumz) - Diamond Platnumz , Zuchu



Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama
Mimi na wewe hadi milele
Komesha wachokozi wabaki kututazama
Tuwatoe jasho la nywele
Haa nimesikia habari
Eti kuna mtu twamkera
Oooh mwana akae tayari
Maana bado movie hili trailer
Na usiku nikumbate (ni tete te)
Ooh my babe boo (ni tete te)
Kwa ghetto ning′ate ng'ate (ni tete te)
You know I love you
Nikizidi ugomvi unichape (ni tete te)
Silaha rungu (ni tete te)
Kwenye joto nipepee (ni tete te)
Mwendani wangu
Penzi letu kwao fire
Na litawachoma sana
Mmmh! Litawauma
Na litawachoma sana
Eh kwa roho mbaya zenu
Na litawachoma sana
Oooh na hatuwachani
Na litawachoma sana
Mmhhm ada! Kinachotakasa nafsi
Huba si sabuni
Kwangu usiwe na wasi
Nishaacha uhuni
Ada! Kama moyo jiko basi
We ndo wangu kuni
Mapenzi soccer
Nipe pasi nitie nyavuni
Tena wasikutishe
Kwa jumbe zao za kata (kata)
Mi ndio kamati kuu
Hapa jimbo umepata (pata)
Mahaba ni tashtiti
Na baby unayajua
Siwezi fanya ya Shishi
Uchebe kukubutua
Waambie na ibilisi
Watu wanajisumbua
Ufupa kashindwa fisi
Wao paka utawaua
Dodo dodo
Nimeokota dodo na mjani wake
Nimeokota dodo
Litayemkera ni shauri zake
Simba nimelipata dodo
Nimeokota dodo na mjani wake
Oh mi mwenzenu toro
Litayemkera ni shauri zake
Na litawachoma
Na litawachoma sana
Mmmh! Litawauma
Na litawachoma sana
Eh kwa roho mbaya zenu
Na litawachoma sana
Oooh na hatuwachani
Na litawachoma sana
Asa baby nichezeshe ngondo
Ngondo, ngondo ingwango!
Ah tulicheze ngondo
Ngondo, ngondo ingwango!
Eh timbwili timbwili tutimbwilike
Ngondo, ngondo ingwango!
Oooh mpaka kupambazuke
Ngondo, ngondo ingwango!
Ai ngondo!
(Ayolizer)
Wasafi




Zuchu feat. Diamond Platnumz - Litawachoma (feat. Diamond Platnumz) - Single
Album Litawachoma (feat. Diamond Platnumz) - Single
date of release
13-09-2020



Attention! Feel free to leave feedback.