NDOVU KUU - LET ME LIE TO YOU Lyrics

Lyrics LET ME LIE TO YOU - arcane krispah



Yooh
M make way for the Elephant
Ndovuuu
Kuu
Vile umenikoroga mmh
Nabaki nimetii
You pretty likkle thing nakutambua you a g
Vile unatesa na ma mmh
Mapicha za IG
Ila sijakupata nakutaka sanaaa
Ata sanitizer haitoshi
Worthy and she know she
Likes to boss up on a man nikama ata sitoshi
And imma get her soon
Just wait you gon see
Ntakudanganya yangu yote huwezi sema zii yeah
Aaaaaah
Kosa lolote hunaaaa
She pretty aaaaah
Ki walae mi nimeshakudata
We malkia we ndo nafuata
Tafuta kote hadi mahali ntakupataaaa
So gimmie one time
We nipe fursa can i call you mine
So let me lie to you lie to you
Lie to youuuu (Ntakudanganya ndo niweze kukupata)
I wanna lie right next to you
Gotta lie to youuu (Ntakuingiza ata ka nachora giza)
Baby lie to you lie to you
Lie to youuuu (Ni makosa nsamehe because i)
I wanna lie right next to you
Lemme lie to youuuu (We nipende malkia nkubali)
Nikaa najiuliza maswali joh
Ka una chali ata kama sijali tho
Utanikubali na sinaga kamali
Ku kukaribia mi hutumia makali ah ah
Angalia vile mi niko na nia sana
Kukushindania kwako mi mpita njia
Kwangu mi nagharamia
Hisia mia kwa mia
Pia nimekukwamia
Sikuachi we jua nimekwachu aah
Aaaaaah
Kosa lolote hunaaaa
She pretty aaaaah
Ki walae mi nimeshakudata
We malkia we ndo nafuata
Tafuta kote hadi mahali ntakupataaa
So gimmie one time
We nipe fursa can i call you mine
So let me lie to you lie to you
Lie to youuuu (Ntakudanganya ndo niweze kukupata)
I wanna lie right next to you
Gotta lie to youuu (Ntakuingiza ata ka nachora giza)
Baby lie to you lie to you
Lie to youuuu (Ni makosa nsamehe because i)
I wanna lie right next to you
Lemme lie to youuuu (We nipende malkia nkubali)
Gotta lie to youuuu
Baby lie to you lie to you
Lie to you (Make way for the elephant)
Lie to you iyeeeeh yeaaah
Ndovuuuu
Kuu



Writer(s): Christopher Githara


NDOVU KUU - LET ME LIE TO YOU
Album LET ME LIE TO YOU
date of release
03-04-2021



Attention! Feel free to leave feedback.