paroles de chanson Amour - ALIKIBA
(Yeah,
Yogo
on
the
beats)
Kusema
nitaleta
we
si
uongo
Siwezi
Arobaini
umeshanikamata
basi
tena
Aah
aaah
Mwendo
wa
taratibu
kama
jongo,
oh
baby
Unanikosha
sina
zaidi
la
kusema
aah
Na
kama
kunipenda
uzidishe,
zidi
zidishe
Na
tulivyo
wa
bad,
tuwatishe
tishe
tiii
Kama
mila
za
kwenu
nifuatishe,
fuati
fuatishe
Uchumba
unoge
nikuhalalishe,
lishe
Amour,
amour
amour
amour
Amour,
tarira
tarara
tarira
Amour,
amour
amour
amour
Amour,
talala
lala
aah
Kazuri
kazuri
katoto
Damu
bado
changa
wamoto
Sauti
nyororo
akinicall
Hallo,
halooo
Hata
mngeekwa
kulwa
na
doto
Ningekuchagua
we
my
love
Haya
ni
mawazo
ama
ndoto
Kuwa
nawe,
kuwa
nawe
Na
kama
kunipenda
uzidishe,
zidi
zidishe
Na
tulivyo
wa
bad,
tuwatishe
tishe
tiii
Kama
mila
za
kwenu
nifuatishe,
fuati
fuatishe
Uchumba
unoge
nikuhalalishe,
lishe
Amour,
amour
amour
amour
Amour,
tarira
tarara
tarira
Amour,
amour
amour
amour
Amour,
talala
lala
aah
1 Oya Oya
2 Amour
3 Tamba (feat. Tommy Flavour, K2ga & AbduKiba)
4 Jealous (feat. Mayorkun)
5 Sitaki Tena
6 Salute (feat. Rudeboy)
7 Washa (feat. Nyashinski)
8 Infidèle
9 Bwana Mdogo (feat. Patoranking)
10 Habibty (feat. Khaligraph Jones)
11 Gimme Dat
12 Niteke (feat. Blaq Diamond)
13 Let Me (feat. Sauti Sol)
14 Utu
15 Ndombolo (feat. AbduKiba, K2ga & Tommy Flavour)
16 Happy (feat. Sarkodie)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.