paroles de chanson Utu - ALIKIBA
Yooooo!
(Yogo
on
beat)
You're
sweet
like
pipi
mamaa
I
can
fight
I
can
kill
someone
For
you
Because
am
in
danger
zone
(oh
no)
This
feeling
feeling
that
am
feeling
It's
too
much
I
see
future,
life
with
you
is
so
brighter
Nakupenda
sana,
you
know
that
I'll
die
for
you
Ooh
sweet
heart,
life
with
you
is
so
sweeter
Nakupenda
sana,
you
know
that
Nakupenda
sana,
you
know
that
Yeah
Na
hakuna
kipya
kwenye
dunia
Oh
my
love
Na
ndio
maana
tamaa
nazizuia
Oh
my
love
Natupa
maelfu
kwa
mamia
In
this
world
Ila
we
pekee
nimekuchagua
I
swear
to
God
Na
umebarikiwa
Utu
na
utulivu
Umebarikiwa
Utu
na
utulivu
Licha
ya
upole
na
uzuri
Una
utu
na
utulivu
Umebarikiwa
Utu
na
utulivu
Ohooo
Siku
zote
maumivu
maumivu
Yapo
kutufunza
Tukipata
furaha,
jinsi
gani
ya
kuitunza
Huko
nyuma
hukumu
Hukumu
zilisha
nikumba
Na
mateso
kung'ang'ania
Pendo
usipopendwa
Niliforce
kujificha
kule
kumbe
Chaka
langu
ni
hapa
Sasa
napewa
amani
Mapenzi
yasiyo
na
mipaka
Ananikanda
huku
mabegani
Ananishika
na
hapa
Masage
mgongoni
Yananilevya
makopa
Na
hakuna
kipya
kwenye
dunia
Oh
my
love
Na
ndio
maana
tama
nazizuia
Oh
my
love
Natupa
maelfu
kwa
mamia
In
this
world
Ila
we
pekee
nimekuchagua
I
swear
to
God
Na
umebarikiwa
Utu
na
utulivu
Umebarikiwa
Utu
na
utulivu
Licha
ya
upole
na
uzuri
Una
utu
na
utulivu
Umebarikiwa
Utu
na
utulivu
Oooh
Aaaah
Namuona
yeye
(Analia
ninapougua)
Aaaah
Namuona
yeye
(Akikesha
ananiombea
dua)
Aaaah
Namuona
yeye
(Analia
ninapougua)
Aaaah
Namuona
yeye
(Akikesha
ananiombea
dua)
1 Oya Oya
2 Amour
3 Tamba (feat. Tommy Flavour, K2ga & AbduKiba)
4 Jealous (feat. Mayorkun)
5 Sitaki Tena
6 Salute (feat. Rudeboy)
7 Washa (feat. Nyashinski)
8 Infidèle
9 Bwana Mdogo (feat. Patoranking)
10 Habibty (feat. Khaligraph Jones)
11 Gimme Dat
12 Niteke (feat. Blaq Diamond)
13 Let Me (feat. Sauti Sol)
14 Utu
15 Ndombolo (feat. AbduKiba, K2ga & Tommy Flavour)
16 Happy (feat. Sarkodie)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.