paroles de chanson Mac Muga - ALIKIBA
Mchizi
wa
bongo
Mac
Muga
Yuko
single
sana
Mac
Muga
Ukimwona
kutwa
akijinamia
Kwa
sababu
ya
maisha
yamchanganya
Long
time
mambo
alizamia
Na
kwenda
kusini
mwa
Africa
Huku
pia
akimchanua
Kwa
sababu
ya
maisha
aliyofuma
Alikuwa
maarufu
sana
Akajiona
yeye
ndo
winner
Full
kujichanganya
na
wasichana
Club
zote
za
huko
kujulikana
Wewe
Mac
Muga
Wewe
wewe
Mac
Muga
Ah,
hii
dunia
Mac
Muga
huruma!
Mungusha
Athumani
alipofika
South
Africa
Alikuwa
na
maisha
bomba
Ya
juu,
ya
thamani
tena
yanayohitajika
Magari
na
kubwa
nyumba
Mungusha
Athumani
alipofika
South
Africa
Alikuwa
na
maisha
bomba
Ya
juu,
ya
thamani
tena
yanayohitajika
Magari
na
kubwa
nyumba
Ona
sasa
amesharejea
Hajui
wapi
ataanzia
Hakuna
kazi
kutwa
akajinamia
Mac
Muga
hii
ni
dunia
Maisha
alichezea
Gari
ya
kutembelea
Shida
walimwelezea
wasichana
Na
shida
zao
akawatatulia
Hivi
upewe
nini
Mac
Muga
Mungu
akupe
nini
Mac
Muga
Nymba
ulijijengea,
full
kuchanua
Wewe
ndio
wewe,
wengine
fala
Wewe,
Mac
Muga
Mbona
sasa
umeshatibua
South
Africa
wamekutimua
Na
sasa
home
usharejea
Wewe
Mac
Mungu
akupe
nini
Mac
Muga
Ah,
hii
dunia
Mac
Muga
huruma
Mungu
si
Athumani
alipofika
South
Africa
Alikuwa
na
maisha
bomba
Ya
juu,
ya
thamani
tena
yanayohitajika
Magari
na
kubwa
nyumba
Mungu
si
Athumani
alipofika
South
Africa
Alikuwa
na
maisha
bomba
Ya
juu,
ya
thamani
tena
yanayohitajika
Magari
na
kubwa
nyumba
Ona
sasa
amesharejea
Hajui
wapi
ataanzia
Hakuna
kazi
kutwa
akajinamia
Mac
Muga
hii
ni
dunia
Yikes
kana
huoni
kwa
Mac
Muga
Roho
inauma
huruma
kanyongo'nyea
Afanye
nini
sasa
cha
kufanya
Kila
anachachofanya
anaona
anakosea
Yikes
kama
huoni
kwa
Mac
Muga
Roho
inauma
huruma
kanyongo'nyea
Afanye
nini
sasa
cha
kufanya
Kila
anachachofanya
anaona
anakosea
Akiwa
jambazi
gerezani
ataishia
Akiwa
mwizi
anaona
atauliwa
Akifikiria
kujiua
nafsi
basi
analia
Wewe
Mac
Muga
Mungu
akupe
nini
mac
muga
Aai
Ni
dunia
Mac
muga
huruma
Wewe
Mac
Muga
Mungu
akupe
nini
Mac
Muga
Oooh
my,
dunia
Mac
muga
noma
Mungu
akupe
ni
mac
muga
Aaaaah
Mac
Muga
Noma
Mac
muga
noma
(ooooh)
Baucha
records,
kuita
maisha
raha,
Kuna
kupanda
na
kushuka
bana
mmmh
Eeyoooo
(eeyoooo),
Mac
muga
noma
ooooh
1 Sikuoni
2 Karim
3 Mali Yangu
4 Nakshi Mrembo_
5 Njiwa
6 Usiniseme
7 I Miss You
8 Aje
9 Chekecha Cheketua
10 Dodo
11 Hasara Roho
12 Kadogo
13 Lupela
14 Mac Muga
15 My Everything
16 Zaidi Yangu
17 Mwana
18 My Wife
19 So Hot
20 Waya
21 Mshumaa
22 Cinderella
23 Mapenzi Yan Run Dunia
24 Nichum
25 Far Away (feat. Chidi Benz)
26 Nagharamia (feat. Christian Bella)
27 Kwenda Salama Boss Ruge (feat. Diamond Platnumz)
28 Single Boy (feat. Lady Jaydee)
29 Nakupenda (feat. Lava Lava)
30 Mbio
31 Msamba (feat. Rich Mavoko)
32 Sabrina
33 Infidèle
34 Number 1
35 Yatima
36 Seduce Me
37 Siri Yangu
38 Dushelele
39 Hadithi (feat. Mr Mim)
40 Mediocre
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.