paroles de chanson Zaidi Yangu - ALIKIBA
Instrunmental
Mcheza
bongo
Mac
Muga
Yuko
single
sana
Mac
Muga
Ukimwona
mtu
akijinamia
kwa
sababu
ya
Maisha
yamchanganya
Chali
wangu
alizamia
Kuenda
kusini
mwa
Africa
Huku
pia
akimchanua
kwa
sababu
ya
maisha
Aliyofuma
Alikuwa
maarufu
sana,
Akajiona
yeye
ndo
winner
Kwa
Kujichanganya
na
wasichana
Club
zote
za
huko
kujulikana
Yeye
Mac
Muga
Wewe
Mac
Muga
Ah,
Hii
dunia,
Mac
Muga
huruma!
Mungusha
asumani
alipofika
South
Africa
Alikuwa
na
maisha
bora
Ya
juu,
Ya
thamani
tena
yanayohitajika
magari
yote
Kwa
nyumba
Mbona
sasa
amesharejea,
Hajui
wapi
ataanzia!
Hakuna
kazi
mtu
akajinamia
Mac
Muga
hii
ni
dunia
Akajichezea,
Gari
ya
kutembelea
Shida
walimwelezea
wasichana
Na
shida
zao
akawatatulia
Wewe
upewe
nini
Mac
Muga
Mungu
akupe
nini
Mac
Muga?
Nyumba
ulijijengea,
Foro
kuta
nyumba
Wewe
ndio
wewe,
Wengine
fala!
Wewe,
Mac
Muga
Mbona
sasa
umeshatimua!
South
Africa
wamekutimua
Na
sasa
home
usharejea
Wewe
Mac
Muga
Mungu
akupe
nini
Mac
Muga?
Mungusha
asumani
alipofika
South
Africa
Alikuwa
na
maisha
bora
Ya
juu,
Ya
thamani
tena
yanayohitajika
magari
makubwa,
Nyumba
Mbona
sasa
amesharejea,
Hajui
wapi
ataanzia
Hakuna
kazi
mtu
akajinamia
Mac
Muga
hii
ni
dunia!
Yipes
kana
huoni
kwa
Mac
Muga
Woi
noma
huruma
kanyongo'nyea
Afanye
nini
sasa,
Cha
kufanya
Kila
anachachofanya
anaona
anakosea
Yikes,
Kama
huoni
kwa
Mac
Muga
Woi
noma
Huruma
kanyongo'nyea
Afanye
nini
sasa,
Cha
kufanya
Kila
anachachofanya
anaona
anakosea
Akiwa
jambazi
akili
zake
zitaishia
Akiwa
mwizi
anaona
atauliwa
Akifikiria
kujiua
Nafsi
yamzusha
basi
analia
Wewe
Mac
Muga!
Mungu
akupe
nini
Mac
Muga?
Wewe
Mac
Muga!
Basi
upewe
nini
Mac
Muga?
Mungu
alikuzawadia
Sasa
ushachezea!
Wewe
Mac
Muga!
Basi
upewe
nini
Mac
Muga?
Mungu
alikuzawadia
maisha
Sasa
ushachezea!
Haya,
haya,
Wangu
Mac
Muga
Msela
hao
Wa
mpani
huna
Wasee
wa
Maskani
wanakukimbia!
Mac
Muga
noma
Hee!
Mac
Muga
Skonde,
upige
moyo
konde,
Mac
Muga!
1 Cinderella
2 Nakshi Nakshi Mrembo
3 Njiwa
4 Zaidi Yangu
5 Kuteseka
6 Yatima
7 Namshukuru Mungu
8 Nichuum
9 Mac Muga
10 Sabrina
11 Kufosi Mapenzi
12 Namzimia
13 Msela
14 Raggatone
15 Sikuoni
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.