paroles de chanson Usijaribu - Ay
Let
me
talk
to
ya!
Nataka
kusema
sana
(No
si
sana)
kuhusu
watu
wa
aina
Fulani,
mzeiya
A.Y
sema
Mikono
juu,
onyesha
kama
hufagilii
mambo
ya
kishamba
x
4
Aah
juu!
Nyosha
mikono
ishara
tumewapiga
bao
x
4
I.
Yatazame
vyema
macho
yangu
right
now,
Nishapitia
mambo
mengi
hata
zaidi
yao.
Unapong'ata
kwangu
na
kupulizia
kwao,
Unapochoka
zaidi
baada
ya
kuona
mi
nacheka
nao.
(Oh)
Leo
nakupa
ukweli
baada
ya
kuona
unanispy,
Cheza
nami
mbali
sitaki
hata
unisabahi.
(Sikujui)
Niaje
nipoteze
muda
nikuchunguze,
(Hunijui)
Vipi
utunge
uzushi
kwangu
uyasambaze.
Mind
your
business
hujui
style
ya
Maisha
yangu,
Basi
sitaki
ubishe
hadi
kwenye
anga
zangu.
Kila
siku
unayafuatilia,
nayoyahangaikia,
Lakini
huwezi
kuniharibia.
Usione
nimeshhh
ukataka
kupima,
Nilikuona
mwema
kumbe
zzzz
nishakusoma.
Nikiwepo
mtu
poa,
nikiondoka
unanichoma,
Sasa
unapochoma
kama
unaoga
nje
mchana
ah.
Niko
imara
zaidi
ya
chuma
cha
pua,
Sitabiriki
ujio
wangu
moyo
wako
unajua.
Mlango
wa
ngome
yangu
mjomba
noma
ngumu
kuingia,
Ndo
maana
bado
mi
nakamua
border
nyingi
napasua.
Bridge.
Shida
zangu
kwani
zinakuhusu
nini
(wewe)
Hata
raha
zangu
zinakuhusu
nini
(wewe)
Pia
Maisha
yangu
yanakuhusu
nini
(wewe)
OYAA
X
2 (OYAA
X
2)
Mikono
juu,
onyesha
kama
hufagilii
mambo
ya
kishamba
x
4
Aah
juu!
Nyosha
mikono
ishara
tumewapiga
bao
x
4
II.
Usione
watu
wamechill
wametulia,
Busy
Basi
ukaona
easy
kuwachezea,
ukidhi.
Kupandikiza
chuki
news
kudandia,
Please,
sitaki
lawama
kama
vipi
we
potea
Fanya
usepe
tu
kwangu,
kwangu
hupati
kitu
fool
Niogope
kama
OGOPA
full
wa
mbuzi
kama
FID
Q
(A.Y
x2)
Bado
nafanya
mema
huh
Nikipata,
nikikosa
namshukuru
Mungu
tu,
Kikulacho
mbona
kinguoni
mwako.
Wanaokuua
mbona
wa
karibu
yako,
We
unashangaa
nani
anauza
file
lako.
Kama
Adili
kama
mi
(Bora
niwe
peke
yangu).
Deal
zako
ka
zinabuma
basi
hasira
usilete
kwangu.
Kama
zali
oh
si
lako
jitume
kibingwa
wangu.
Sio
unakaa
tu,
kazi
tu,
kupiga
majungu.
Napo
muda
unapata
bado
unapiga
virungu.
Mchawi
hana
alama
wapo
(humuhumu).
Asiyependa
uendelee
ni
(mchawi
tu).
Hakosi
uja
kwako
hodi
kila
saa
(Ngo,
ngo)
Ndani
chuki
nje
kila
saa
anakupa
tano.
(Ngum,
Ngum).
Bridge.
Shida
zangu
kwani
zinakuhusu
nini
(wewe)
Hata
raha
zangu
zinakuhusu
nini
(wewe)
Pia
Maisha
yangu
yanakuhusu
nini
(wewe)
OYAA
X
2 (OYAA
X
2)
Mikono
juu,
onyesha
kama
hufagilii
mambo
ya
kishamba
x
4
Aah
juu!
Nyosha
mikono
ishara
tumewapiga
bao
x
4
(Aaah)
Usijaribu
kuchunguza
sura
hii
(Aaah)
Kama
ina
raha
ama
zzzz
(Aaah)
Usilete
tabia
za
kizamani.
Maisha
yangu
yanakuhusu
nini
Au
vipi
bwana,
Ni
hayo.
Huu
ni
muda
na
kila
mtu
kujiheshimu
rafiki
yangu.
Haijalishi
wewe
ni
nani
na
unatoka
wapi.
Niachie
mimi
nifanye
kama
mimi.
Sababu
siwezi
kufanya
kama
wewe
na
wewe
huwezi
kufanya
kama
mimi.
Sikiliza
Ambwene,
hili
ni
bonge
la
dude,
bonge
la
beat
kutoka
kwa
OGOPA.
Matrack
kama
haya
yanatakiwa
kusikilizwa
mtaani.
Chuki
kibao
zipo,
kwa
nini?
USICHUKULIE
POA
X
2
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.