paroles de chanson Kanipe - Asake
Kama
tambara
mbovu
Lililotupwa
mchangani
eeh
Kudharauliwa
kutotambuliwa
Na
yeyote
Ndivo
nilikuwa
wakati
mmoja
Maishani
mwangu
Ila
Mungu
mwenyewe
Kaniokota
na
kunibadili
eeh
Kama
tambara
mbovu
Lililotupwa
mchangani
eeh
Kudharauliwa
kutotambuliwa
Na
yeyote
Ndivo
nilikuwa
wakati
mmoja
Maishani
mwangu
Ila
Mungu
mwenyewe
Kaniokota
na
kunibadili
eeh
Umeniokoa
kanipa
amani
Yahweh
Ukanipa
sauti
nikuimbie
nashukuru
Umenipa
kibali
na
kuniketisha
nao
wafalme
Umetenda
yote
si
kwa
wema
wangu
Ila
kupenda
kwako
Umeniokoa
kanipa
amani
nalo
tumaini
Ukanipa
sauti
nikuimbie
Baba
nashukuru
Umenipa
kibali
na
kuniketisha
nao
wafalme
Umetenda
yote
si
kwa
wema
wangu
Ila
kupenda
kwako
Instruments
Umeniandalia
meza
machoni
pa
watesi
wangu
Umenipigania
kanipa
ushindi
Baba
eeh
Ningelikuwa
mwenyewe
singeweza
jitetea
Niseme
nini
Baba,
ni
kupenda
kwako
Wewe
umeniandalia
meza
machoni
pa
watesi
wangu
Umenipigania
kanipa
ushindi
Baba
eeh
Ningelikuwa
mwenyewe
singeweza
jitetea
Niseme
nini
Baba,
ni
kupenda
kwako
Ni
kupenda
kwako
tu
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
(Eh
Baba)
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
(Ni
neema
yako)
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
(Sio
kwa
wema
wangu)
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
(Uhai
umenipa)
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
(Sio
kwa
wema
wangu
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
(Bali
nashukuru)
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
(Bali
nashukuru)
Ni
neema
yako
tu
Ni
kupenda
kwako
tu
(Eh
Baba)
Ni
neema
yako
tu
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.