paroles de chanson Hello Baby - Avril , Ommy Dimpoz
Mwanzo
nilimwambia
Akifika
tu
Nairobi
Kuna
manzi
wengi
asishangae
Tena
nikamwambia
Hata
siku
akirudi
Kila
mtu
ajue
mi
niko
naye
Mtoto
mzuri
niko
naye
Nampenda
leo,
kesho
na
baadaye
Nimwambie
nini
mpaka
afurahi
Kuwa
niko
naye
Umbo
zuri,
hips,
I
don't
lie
Nipende,
nikupende
mpaka
washangae
Japo
niko
Dar
nitakuja
baadaye
Unipe
nifurahi
Hello,
baby,
japo
niko
mbali
Naomba
penzi
langu
utambue
Hello,
baby,
wala
usijali
Na
mimi
tunda
langu
ntunzie
Hello,
baby,
japo
niko
mbali
Naomba
penzi
langu
utambue
Hello,
baby,
wala
usijali
Na
mimi
tunda
langu
ntunzie
Mapenzi
yamenivutia
Mpaka
natamani
urudi
Tuje
kuishi
wote
Dar
Es
Salaam
ah
Nahisi
kuchanganyikiwa
Kwa
huyo
binti
wa
Nairobi
Nachohitaji,
kuishi
naye
Kijana
mzuri
niko
naye
Nampenda
leo,
kesho
na
baadaye
Hata
waseme
nitadumu
naye
Ye
hufanya
nifurahi
Ana
tabia
nzuri,
he
don't
lie
Kwa
penzi
lake
mpaka
nazirai
Kabla
hajafika
mi
nimeshawahi
Kweli
najidai
Hello,
baby,
wala
usijali
Na
mimi
tunda
langu
ntunzie
Hello,
baby,
japo
niko
mbali
Naomba
penzi
langu
utambue
Hello,
baby,
wala
usijali
Na
mimi
tunda
langu
ntunzie
Hello,
baby,
japo
niko
mbali
Naomba
penzi
langu
utambue
Bas'
come
now
Si
ukuje
now
Wasikurubuni
hao
washika
dau
Ukanidharau,
ukanisahau
Sitakubali,
no,
no,
no
Bas'
come
now
Si
ukuje
now
Wasikurubuni
hao
washika
dau
Ukanidharau,
ukanisahau
Sitakubali,
no,
no,
no
Hello,
baby,
japo
niko
mbali
Naomba
penzi
langu
utambue
Hello,
baby,
wala
usijali
Na
mimi
tunda
langu
ntunzie
Hello,
baby,
japo
niko
mbali
Naomba
penzi
langu
utambue
Hello,
baby,
wala
usijali
Na
mimi
tunda
langu
ntunzie
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.