Avril feat. Rabbit King Kaka - Ninaweza paroles de chanson

paroles de chanson Ninaweza - Avril , Rabbit King Kaka



Ehee, mm mm ehee 1 Ninaimagine, all the things I'd like to have
Gari, nyumba na mali, ya kupindukia hey
Kila mahali ninaenda sina shaka akilini
What peace I'd have, no worry on my mind
Nikitazama sasa, barabara mbele yangu hii
No easy eh oh because kuna watu wenye nia mbaya oh
Ninashindwa ni wapi nitapata nguvu
And then I close my eyes eh
Realize that I'm stronger than they think
Na ninaweza Na ninaweza Na nitaweza Na ninaweza, ninaweza, ninaweza
Naamini ninaweza
2 Nina picture medium kwa kichwa venye naweza ji picture
Success ilipo ndio niweze jificha
Hata hazina vurugu nanitembeza ndula
Kaa si Kaka clothing niko na Jacob bejula
Si unajua peace ua, I make a good ruler
Nina nguvu, na siongelei gym
Nawamix sana, na siongelei Kym
Na rafiki ni washady, kidogo wawe Slim
Nataka pesa za Kirubi, psyche kaa duni
Kabla niwe na kiburi, nilianza juzi
Oh yeah ndai deadly, high paid account ni heavy
Mola alishanipea nguvu, are you ready
What what leo able, kesho stable
Deal gani unayo, cards juu ya table
Big up to my daughters, N na G
Hao ndio hunipa, energy
Na ninaweza Na ninaweza Na nitaweza Na ninaweza, ninaweza, ninaweza
Naamini ninaweza
Eh mtu we leo lazima mimi nimake it
Hata waseme nini mimi namake it
Okay, alright
I was once told hakuna kitu impossible, ni attitude tu
Alafu vitu possible
I mean me from ghetto, sa hii bills nasettle
Touchdown kesho, keshokutwa *
Eh mtu we leo lazima mimi nimake it
Hata waseme nini mimi namake it
Alright, okay
Maganji na hesabu siku show kwa klabu
Haujapata habari nakula life na adabu
Wanasema siku izi, Kaka anaweza
Nawashow, hata we unaweza
Na ninaweza Na ninaweza Na nitaweza Na ninaweza, ninaweza, ninaweza
Naamini ninaweza




Avril feat. Rabbit King Kaka - Hakuna Yule (Missing You)
Album Hakuna Yule (Missing You)
date de sortie
04-11-2015



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.