Ay - Mtafutaji paroles de chanson

paroles de chanson Mtafutaji - Ay



Najua nilipotoka naheshim sana
Ndomana nkipata pesa natulizana
Ila ninapokosa nakimbizana
Npate nivimbe ninapotoka na baby mama
Maana umaskini unachosha na tumbo aridhiki
Ndomana namuomba mungu anipe zaidi ya hiki
Nipoze machungu mwisho wa wiki
Kidogo niwape ndugu wasije kusnitch
Unatokaje hauna pesa emu nenda kalale
Nenda disco kitajiri apo nd utaitwa mkale
Itikadi za bob marley ndani mbuzi nje tui
Mi nakujua ila biashara yangu haikujui
Haikutambui wapi umeona ushkaji na kazi
Kama dili leta tusign milango ipo wazi
Na kama huna mchongo ndo basi sina chance
Usinipigie simu kuhusu bata staki
Marafiki unacheka nao kumbe moyoni mwao wananuna
Mwisho wa siku ukipiga bao
Roho zao zinabaki zinauma




Ay - Mtafutaji
Album Mtafutaji
date de sortie
21-07-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.