Bahati - Itakuwa Sawa paroles de chanson

paroles de chanson Itakuwa Sawa - Bahati



Nilipotenganishwa tu na mama,
Niliingia kwa mtaa kutafuta butter,
Masela walinata,
Huku na kule tumaini la kupata,
Nisije na uchungu,
Mito mikubwa milima nilivuka,
Natumaini tu kwa mungu,
Awape nguvu nyumbani niliowacha,
Nikaamua niende mbali,
Ii mbali na nyumbani,
Nikamua niende mbali,
Ili kusaka ugali,
Nikaamua niende mbali,
Nikaamua niende mbali,
Mbali na,
Itakuwa sawa
Kwa hivi waeleze nyanya na babu
Itakuwa sawa,
Shangazi mwambie hasife moyo,
Itakuwa sawa x2
Na hivi msichoke,
Kukopa dukani paendapo pangumu
Hivi mniombee,
Maisha mjini bado ni sugu x2
Naelewa na uchungu uliowabana,
Naelewa si rahisi kupambana,
Naelewa na majozi yamewakumba,
Mama baba,
Naelewa na uchungu uliowabana,
Si rahisi kupambana,
Naamini tukimwamini rabana,
Yote
Napita mengi na si utani,
Wambie eh
Sijadanganywa na burundani,
Wambie eh
X2
Mweleze na nyanya,
Mweleze mjomba,,(itakuwa sawa)
Mweleze masela
Musyoki wa benga,(itakuwa sawa)
Mweleze susana,,(itakuwa sawa)
Na hivi msichoke.



Writer(s): bahati bahati


Bahati - Itakuwa Sawa
Album Itakuwa Sawa
date de sortie
25-02-2016




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.