Ben Pol - Kidani paroles de chanson

paroles de chanson Kidani - Ben Pol



I wish unipende
Unichunge, nisiende kwingine
Tena unifunge, unifumbe na macho
Nisione mwingine
Mhhh
Naheshimu maamuzi ya kuwa nawe
Usinifanye nijutie
Nionekane mpuuzi dunia inishangae
Penzi languu
Ukalihifadhi mapenzi uyafanye baadae
Penzi lako tamu asali;
Baby nipe
Nikabidhi nipe kibalii
Kwa mbwembwe nita...
Kiitikio
Penzi tamu asali, baby
Nikabidhi nipe kibali
Ukinipa kidani, nitalala nacho,
Ukinipa kidani, nitalala
Unajua we ndo dawa
Mwenzako kiugua
Kukukosa nachachawa
Bila shaka unajua
Tena, kwako mi si chochote
Sisikii sioni, sijiwezi kwa lolote
Aah aah aaah
Maneno ya nje usije yapa mwanya
Oooh my love
Zidisha kipimo
Usije yagawanya
Oooh my love
Heshima, upendo na kuthaminiana
Ooh my love
Tufike malengo tukishirikiana
Penzi lako tamu asali
Baby nipe
Nikabidhi nipe kibali
Kwa mbwembwe nita
Penzi tamu asali, baby
Nibidhi nipe kibali
Ukinipa kidani nitala nacho
Ukinipa kidani talala



Writer(s): Benard Paul Mnyanganga


Ben Pol - IamBenPol
Album IamBenPol
date de sortie
11-11-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.