paroles de chanson Nikikupata - Ben Pol
Maisha
yangu
mi,
Nimeshafanya
vingi
na
Kukutana
na
wengi
Kama
warembo
nao,
nimeshakuwa
na
wengi
ila
Sio
siri
umewazidi
Uzuri
sio
sura
ma
Pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
imani
Uzuri
sio
sura
ma
Pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
imani
Nikikupata,
milele
nitafurahi,
Nitaimba
nakupenda,
hadi
mwisho
wa
uhai
Nikikupata,
milele
nitafurahi,
Nitaimba
nakupenda,
hadi
mwisho
wa
uhai
Heshima
ya
mapenzi,
ubora
wa
mapenzi
wawili
Kuaminiana
Heshima
ya
mapenzi,
furaha
ya
mapenzi
mimi
Na
we
tukipendana
Nami
ninaapa,
kukupa
thamani
ya
penzi
Unalopaswa
Kamwe
sitofanya,
kinyume
na
thamani
ya
Pendo
nikakosa
Uzuri
sio
sura
ma
Pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
imani
Uzuri
sio
sura
ma
Pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
imani
Nikikupata,
milele
nitafurahi,
Nitaimba
nakupenda,
hadi
mwisho
wa
uhai
Nikikupata,
milele
nitafurahi,
Nitaimba
nakupenda,
hadi
mwisho
wa
uhai
Maisha
yangu
mi,
nimeshafanya
vingi
na
Kukutana
na
wengi
Kama
warembo
nao,
nimeshakuwa
na
wengi
ila
Sio
siri
umewazidi
Uzuri
sio
sura
ma
Pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
imani
Uzuri
sio
sura
ma
Pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
imani
Nikikupata,
milele
nitafurahi,
Nitaimba
nakupenda,
hadi
mwisho
wa
uhai
Nikikupata,
milele
nitafurahi,
Nitaimba
nakupenda,
hadi
mwisho
wa
uhai
1 Maneno
2 Gusa
3 Afro
4 Maboma
5 Maumivu
6 Naringa
7 Nikikupata (Acoustic Version)
8 Nikikupata
9 Number One Fan
10 Pete (Live Version)
11 Pete
12 Samboira
13 Samboira (Remix)
14 Tulia Kwangu
15 Yatakwisha
16 Wa Ubani (feat. Alice)
17 Twaendana
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.