Ben Pol - Nikikupata (Acoustic Version) paroles de chanson

paroles de chanson Nikikupata (Acoustic Version) - Ben Pol

Maisha yangu mi, Nmeshafanya vingi na.kukutana na wengi
Kama warembo nao, nimeshakuwa na wengi ila... sio siri umewazidi
Uzuri sio sura ma. pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, Hekima na ukarimu wako, Busara na Imani

Nikikupata, Milele nitafurahi
Nitaimba Nakupenda, Hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, Milele nitafurahi
Nitaimba Nakupenda, Hadi mwisho wa uhai
Heshima ya Mapenzi, Ubora wa Mapenzi wawili kuaminiana
Heshima ya Mapenzi, Furaha ya Mapenzi Mimi na we tukipendana
Nami ninaapa, kukupa thamani ya penzi unalopaswa
Kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya pendo nikakosa
Uzuri sio sura ma... pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, Hekima na ukarimu wako, Busara na Imani
Uzuri sio sura ma... pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, Hekima na ukarimu wako, Busara na Imani
Nikikupata, Milele nitafurahi
Nitaimba Nakupenda, Hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, Milele nitafurahi
Nitaimba Nakupenda, Hadi mwisho wa uhai
Maisha yangu mi, Nmeshafanya vingi na.kukutana na wengi
Kama warembo nao, nimeshakuwa na wengi ila... sio siri umewazidi
Uzuri sio sura ma. pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, Hekima na ukarimu wako, Busara na Imani
Uzuri sio sura ma. pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, Hekima na ukarimu wako, Busara na Imani
Nikikupata, Milele nitafurahi
Nitaimba Nakupenda, Hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, Milele nitafurahi
Nitaimba Nakupenda, Hadi mwisho wa uhai

Writer(s): Ben Pol

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.