Ben Pol - Zai paroles de chanson

paroles de chanson Zai - Ben Pol



My man
Tiddy Hotter
Ugali tembele nawe
Kuku na mchele mama
Mvua pii jua nawe ehh
We ndo unani jua sana
Ulichokimbilia kukifanya
Si chakiungwana
Mungu anakuoana eh ihh
Tumeishima Maisha mazuri sana
Mina we kimwana
Hadi kufanana oh ohh
Zai, oh Zai
Zai, unanionaje
Zai, oh Zai
Zai, imekuaje
Kumeachana jana
Leo una bwana tena mmeshibana
Kuachana jana leo una bwana
Eti mnapendana Ooh ooh
Fine au ulikua vile
How? mapenzi yameanza lini?
How? masaa ishirinina nne
How? bado nashindwa kuamini
Ulichokimbilia kukifanya
Si chakiungwana
Mungu anakuoana eh ihh
Tumeishima Maisha mazuri sana
Mi nawe kimwana
Hadi kufanana oh ohh
Zai, oh Zai
Zai, unanionaje
Zai, oh Zai
Zai, imekuaje
Zai Zai Zai we, kizai zai we
Zai Zai Zai we
Zai Zai Zai we, kizai zai we
Zai Zai Zai we



Writer(s): Ben Pol


Ben Pol - Zai
Album Zai
date de sortie
16-02-2018

1 Zai




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.