paroles de chanson Bado Kidogo - Ben Pol
Jua
likichomozo
mambo
yangu
hayaendi
Na
likizama
ndo
hivyo
hivyo
Nami
kukaba
siwezi
Shida
zimezidi
nauona
mlango
wa
kaburi
Naipunguza
speed
huku
naisoma
zaburi
Malaika
afungue
kufuli
Adhuhuri
kinga
bakuli
Bado
kidogo
atustiri
kwenye
kivuli
Mwezimungu
si
alituumba
kwa
mfano
wake
Hivyo
basi
na
sisi
tunaomba
kila
mmoja
na
hatma
yake
Tuondokane
na
hizi
kasumba
za
ooh
mi
nimetoka
kayumba
Shikilia
ulipo
shika
humchango
ndo
chanzo
cha
maarifa
Maamuzi
yanahitajika
Uvumilivu
unahitajika
Pasikua
kujikwamua
Kesho
haito
badilika
(bado
kidogo)
Kunamuda
mambo
yanashindwa
kwenda
Kuna
muda
mwanga
huoni
ni
giza
Kuna
muda
aah
aah
unashindwa
(usikate
tamaa)
Uko
hapa
kwa
sababu
baba
hataki
upate
taabu
Uko
hapa
kwa
sababu
uuuh
uhhh
bado
kidogo
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Usife
moyo
(bado
kidogo)
I
know
it′s
painful
watu
wanapokuita
failure
Pain
all
the
way
ndoto
flani
umecarier
Maneno
vikwazo
na
chuki
Watasema
hamnazo
mnanuksi
Umekosa
karo
ya
swhule
unashindwa
utamlilia
nani
we
Umekosa
hata
chakula
unashindwa
utamuomba
nani
But
ngoja
kidogo
(Usivunje
moyo,
bado
kidogo)
Ukishajua
nini
unataka
nini
chahitajika
ukipate
Kamilisha
mahitaji
kisha
kifuate
Nakughairisha
kisa
hupati
sapport
Nikujificha
na
kuuliza
giza
iko
wapi
ile
tochi
Bado
najipa
moyo
kutoka
moyoni
The
time
is
coming
Nifanye
kazi
kwa
bidii
na
nisubiri
kidogo
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
Usife
moyo
(bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
Hey
bado
kidogo
Hey
bado
kidogo
Bado
kidogo
Ooh
bado
kidogo
(Bado
kidogo)
(yakupasa
upige
moyo
konde)
Ooh
bado
kidogo
(Bado
kidogo)
(Usikate
tamaa
ohh
bado
kidogo
bado
kidogo)
Ooh
bado
kidogo
(Bado
kidogo)
(You
are
almost
there
you
are
almost
there)
Ooh
bado
kidogo
(Bado
kidogo)
(Usirudi
nyuma
eeeh)
Ooh
bado
kidogo
(Bado
kidogo)
(eeeh)
Ooh
bado
kidogo
(bado
kidogo)
(uuuuh)
Usife
moyo
(bado
kidogo)
(you
are
almost
there)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.