Benson - Hauzimi paroles de chanson

paroles de chanson Hauzimi - Benson



Hummmm...
Hummmm mmmh
Ni vipi naweza kunogesha Furahisha na pendo likolee
Nieleza kitu gani sijafanya au nafanya nakosea
Niwapi nitashika
Ukaridhika Burudika na pendo liendelee
Maana imekuwa nongwa kisa
Rika unambia Swezi mengineee
Mapenzi ya upepo
Ona bendara mama we
Mwenzako moto Hauzimi!
Hauzimi!
Mwenzako moto Hauzimi!
Basi slow tempo!
Namaliza sabuni
Mwenzako moto hauzimi,
Hauzimi
Mwenzako moto Hauzimi!
Mwanzo ulisemaaaa Nakuchenguaaa
Unanimiss hata kidogo
Upotezi dakika wala masaa
Na ukasemaaaa... Me ntateuaa
Na tena kwenye mechi nakiwasha Mi samata na shanga nazikataaa
Mapenzi ya upepo
Ona bendera mama wee
Mwenzako moto hauzimi,
Hauzimi
Mwenzako moto Hauzimi
Basi slow tempo
Namaliza sabuni
Mwenzako moto, hauzimi hauzimi Mwenzako moto Hauzimi
Mamii umezima data Mwenzako mtandao usje ukataa
Bila wewe siwezi Mapenzi na ukija
Kuniacha Utaniachia utata
Jirudi kama zamani Penzi liwe shatashata
Kuliko kunifanya kambumbu mwenyewe Ukaniacha wengine ukafata
Ooh baby why Ayaaaya ayaaya ayaaya ayaaya
Ooh baby why Ayaaaya ayaaya ayaaya
Mapenzi ya upepo
Ona bendera mama wee
Mwenzako moto hauzimi,
Hauzimi
Mwenzako moto Hauzimi
Basi slow tempo Namaliza
Sabuni
Mwenzako moto, hauzimi, hauzimi Mwenzako moto Hauzimi



Writer(s): Sharif Juma


Benson - Hauzimi
Album Hauzimi
date de sortie
01-01-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.