paroles de chanson Muhogo Wa Jang'ombe - Bi Kidude
Muhogo
wa
Jang'ombe,
sijauramba
mwiko
Usitukane
wakunga,
na
uzazi
ungaliko
Kaditamati
naapa,
muhogo
sitonunua
Haikuwa
Maimuna,
aliyekwenda
ung'oa
Kapata
tete
kuanga,
na
ugonjwa
wa
shurua
Kula
dori
kula
dori,
mshindo
wa
sufuria
Guliguli
guliguli,
kofia
ina
viua
Ndiye
mimi
ndiye
mimi,
anipataye
ukoa
Mungu
akitaka
kupa,
hakuletei
barua
Hukupa
usingizini,
pasi
mwenyewe
kujua
Kwenda
mbio
sikupata,
bure
unajisumbua
Mkato
wake
matege,
wakati
anapokuja
Naliiweka
dhamiri,
ya
kumfulia
koja
Wallahi
nimeghairi,
kiumbe
hana
mmoja
Kamfunge
kamfunge,
beberu
wa
Athumani
Umfunge
umfunge,
pahala
panapo
jani
Endaye
tezi
na
omo,
atarejea
ngamani
Sina
ngoa
sina
ngoa,
kuhadaiwa
sitaki
Ni
mwerevu
ni
mwerevu,
wala
sihadaiki
Pambanua
pambanua,
viwili
havipendeki
Ya
nini
kutakadamu,
kwa
jambo
lisilokuwa
Utahadhari
na
mwiko,
wakati
wa
kupakua
Ukitamani
makoko,
chungu
utakitoboa
Nauliza
masuala,
hamnambii
jamani
Watu
wake
wakishiba,
huzidi
umaluuni
Pahala
pasipo
ngoma,
hupandwaje
na
shetani
Nyimbo
ya
Bi
Kidude
Imeletwa
na
Hassan
O.
Ali
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.