paroles de chanson Segedance (feat. Rich Mavoko) - Rich Mavoko , Darassa
Ana
ngoma
zote
samba
vanga
sidimba
Ukiingia
anga
zake
rare
timba
Hadithi
hadithi
utam
kolea
Huwezi
kusimulia
mvua
haijakunyeshea
Take
care
huu
sio
moto
wa
kuotea
Mimea
juba
mbovu
litakubomokea
Usimchokoze
mwache
komando
kalala
Akiamka
biashara
shaghala
baghala
Mtu
hasara
wamezinga
mabomu
Mbaghala
Akitinga
home
anaacha
msala
Kaamkia
stand
hata
bila
safari
Kashazima
zake
data
hana
habari
Kutwa
za
watu
machata
kujikubali
Mastaa
plasta
mtu
wa
ajali
Nitakuingiza
chaka
usimweke
dhamana
Alikolala
leo
sio
huko
aliamka
jana
Hana
usiku
hana
mchana
hana
maana
Mtu
lawama
hana
team
hana
chama
Unakuja
kutaste
taste
weka
anachomeka
Kama
unabet
bet
anachana
mkeka
Wameshikwa
na
baridi
wanatetemeka
Wamepatwa
na
mawenge
wanaweweseka
Huyu
bwana
hana
mzaha
anapiga
honi
Tena
kabeba
silaha
kali
kibindoni
Sema
suto
na
vumbi
usoni
Tia
mguu
uende
na
maji
mtoni
Anazijua
njama,
drama,
utampenda
Anakuwa
mnyama
ukiinama
Ukiinuka
amekwenda
nawe
eeh
Mzee
wa
segedance
Kukaba
kuiba
kashazoea,
segedance
Wanamuita
segedance
Dhuluma
kupiga
nyumbani,
segedance
Siku
nyingine
kumekucha
kwenye
misele
Ye
anawaza
mbele
maisha
yatakuwa
mtele
Stori
zake
chenga
chenga
nyingi
kama
Pelle
Kwa
vitambo
hajambo
majigambo
tele
Tunaishi
naye
kimatale
mtaani
Ukasero
kwake
yeye
ni
kama
maskani
Umri
wake
na
matendo
haviendani
Jua
kali
cheki
mwendo
shati
begani
Akiingia
party
kaharibu
kaishia
Sio
mtu
kweli
bandia
bandia
Mambo
yake
ni
kudandia
dandia
Mkate
anashushia
na
bia
Kichwa
imewaka
ti
na
anapepesuka
Hana
muda
wa
kuoga
anapaka
mafuta
Mueke
vigingi
chimba
chimba
na
matuta
Hutomkuta
maajabu
ya
Musa
Unakuja
kutaste
taste
weka
anachomeka
Kama
unabet
bet
anachana
mkeka
Wameshikwa
na
baridi
wanatetemeka
Wamepatwa
na
mawenge
wanaweweseka
Huyu
bwana
hana
mzaha
anapiga
honi
Tena
kabeba
silaha
kali
kibindoni
Sema
suto
na
vumbi
usoni
Tia
mguu
uende
na
maji
mtoni
Anazijua
njama,
drama,
utampenda
Anakuwa
mnyama
ukiinama
Ukiinuka
amekwenda
nawe
eeh
Mzee
wa
segedance
Kukaba
kuiba
kashazoea,
segedance
Wanamuita
segedance
Dhuluma
kupiga
nyumbani,
segedance
1 Proud Of You (feat. Alikiba)
2 Waiter (feat. Mr. Burudani)
3 Umeniroga (feat. Kassim Mganga)
4 Nimetumwa Pesa (feat. Bill Nas & Ben Pol)
5 Loyalty (feat. Marioo & Nandy)
6 Size Yao (feat. Dogo Janja)
7 Usiniletee shida (feat. Femi One)
8 Blessings (feat. Abbah & Mr. T Touch)
9 Love Is Free (feat. Winy)
10 Hands Up (feat. Maua Sama)
11 Lock Me Down (feat. Jaiva)
12 My Life (feat. Chibwa & Marisa)
13 Utantoa Roho (feat. Juma Kakere, Eddy Kenzo, & B2C)
14 Hasso
15 Nikiondoka
16 Segedance (feat. Rich Mavoko)
17 Shemeji (feat. Baraka De Prince)
18 Hater
19 Nana (feat. G Boy)
20 Boss It (feat. Ben Pol)
21 I Like It (feat. Sho Madjozi)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.