Darassa - Hasso paroles de chanson

paroles de chanson Hasso - Darassa




Najua hivhi ndio kilindi ukipendacho
Nimetunga spesho kwa ajili yako
Nimetunga spesho kwaajili mrembo
Habarii pokea zibgatia mrembo
Usipuuze mrembo zingatia zingatia
Ndani ya moyo wangu uko pekeako
Nimezaliwa mimi kwaajili yako




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.