Diamond Platnumz - Nikuone paroles de chanson

paroles de chanson Nikuone - Diamond Platnumz



wasafi.
Mmmh mangapi nimeyaona, wala sikujali nikafunga macho,
Mmmh na tena yaliyo nichoma maumivu makali manyanyaso si mizima nafsi
siwezi kudanganya uwepo wako unanifanya nalia fanya urudi basi japo
kunitazama Mi mwenzako Ukwel naumia kinacho niongeza kizunguzungu
hata huniwezi kutwa na kesha ni kimuomba Mungu wallah simazi,
kinacho niongeza mawazo hata uniwazi kutwa nakesha nikilalamika Njoo
basi nikuone, baby nikuone niikuone nikuone nikuone nikuone mama uko
wapi nikuone nikuone nikuone niikuone japo nikuone roho yangu inaenda
majengede majengede majengede aah roho yangu majengede majengede
majengede mi nakukumbuka sana
majengede majengede majengede hata silali...
kutwa nzima nawaza kisa nini darling a ama sikukupa raha bado sijajua
kama Liza naiza najapo tafakari njoo uniwashie taa kiza kitaniuwa mda
mwengne nakesha tu macho usingizi
sina hiki cheka sura yako huwa nazizima



Writer(s): NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK


Diamond Platnumz - A Boy From Tandale
Album A Boy From Tandale
date de sortie
16-02-2018




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.