paroles de chanson Hatia III - Dizasta Vina
Ah
Nakusalimu
mwafrika,
nakusalimu
habari
gani
Nikaribishe
tuketi,
niseme
yaliyo
ndani
Sahau
kuhusu
hadithi
za
kale
za
upendo
wako
Nataka
leo
tukae
tuijadili
kesho
yako
Kutoka
kupiga
raml
na
kutii
mizimu
Umeanza
kufata
amri
za
TV
na
simu
Na
ubaya
ni
kwamba
umeanza
kuikacha
sanaa
Na
kufata
siasa
ambayo
inakulaza
na
njaa
Na
kila
unachokiona
unataka
kubeba
Vichache
vimekushinda
na
unapanga
kuongeza
Juzuu,
Katekisimu
mpaka
Novena
Sio
zako,
zako
zilikuwa
ni
kutamba
ngojera
Umezubaa,
majirani
wameanza
kufika
kwako
Na
unaamini
kuwa
watakubebea
shida
zako
Kwa
sababu
ya
ujinga,
umezidi
umasikini
Unamjengea
jirani
kwako
unachimba
unabaki
chini
Zamani
ulikuwa
una
sembe
ya
kusaza
Uliabudu
kazi
ukaliweka
jembe
kwenye
shamba
Ghafla
ukauza
panga
ukapamba
jembe
kwenye
kabati
Ukanunua
kioo
ujirembe
ili
uende
na
wakati
Umechagua
urembo
na
umetupa
werevu
Umeuza
mifugo,
unafuga
kucha
na
ndevu
Familia
iwe
mwafrika
uzame
mitini
Au
uombe
msaada
wakati
unakufa
na
fasheni
mwilini
Mwafrika
una
mzigo
mkubwa
wa
madeni
Hauna
mali
ardhi
yako
ni
'future
ya
wageni
Unalala
ndani
kungoja
hisani
ya
wenye
nguvu
Nyumba
iko
wazi
wewe
uko
ibadani
unaabudu
Ujasili
ni
kujimudu
mwafrika
haujui
hili
Umejaliwa
nguvu
na
unashindwa
kuzihimili
Unavamia
diplomasia.unatunga
hotuba
Na
hakuna
mwenye
hisia...
kuwa
upo
nyuma
ya
muda
Ah
Unapoteza
stadi
za
maisha
Kwa
elimu
ya
magharibi
ikuweke
ofisini
suti
kubwa
Ukumbatie
dawati
la
nyazifa
Huku
unauwa
nguvu
kazi
ya
taifa
Umepitiliza
nyumbani
hauna
vituo
Umekuwa
mtumwa
wa
sera
zao
kiasi
kwamba
hauna
future
Hauna
dira,
hauna
lugha
hauna
nguo
Milango
ya
fahamu
imefungwa
na
ufunguo
Umepewa
karatasi
ukaita
jina
pesa
Ukasubiri
ikuletee
furaha
ikakutesa
Ukauza
umoja
ukauza
amani
ukauza
utu
Ukawashusha
mashujaa
wako
ukamwinua
Yesu
wa
kizungu
Una
kucha
ndefu
kushika
chungu
matusi
Hauwezi
kuandika
history
haumudu
herufi
Ume-bleech
nywele,
mdomo
mwekundu
umebusu
baruti
Nikuite
nani,
mwafrika
mzungu
au
mzungu
mweusi
Ah
Unadanganywa
rangi
yako
sio
nzuri
Ili
utafute
pesa
ukawaungishe
vipuri
Ume-switch
kutoka
Mama
Afrika
mpaka
drama
Queen
Una
nunua
TV
uone
Afrika
ikizama
chini
Mwafrika
umeshakosa
mipango
Unajua
kuchonga
ngenga
badala
ya
kuchonga
vinyago
Unaacha
wanyama
Mikumi,
Serengeti
Unasafiri
unaenda
kushangaa
ghorofa
Chicago
Unarudi
unajikuta
Mmarekani
eti
real
nigga
Mbona
haulili
bili
nigga?
Jasiri
haiachi
asili
real
nigga
Kamwe
usijiite
G
nigga
Hauwezi
kuwa
warrior
Unajua
majina
ya
wasanii
kishinda
historia
Unasahu
mapishi.hauendi
jikoni
Unakufa
na
ngoma
mwilini
cheni
shingoni
Kwa
heshima
na
taadhima
unautunza
Msaafu
Unatupa
kitenge.kisha
unafunga
hijabu
Na
ubaya
ni
kwamba
bado
haujajua
sababu
Unapewa
Zaburi
utafakari
mwenyewe
wakichukua
dhahabu
Ufeli
majibu
uishie
kubuni
Ushindane
nani
msafi
aende
mbinguni
Mhanga
wewe
rudi
uzipitie
kanuni
Umeshikishwa
kitabu
wenzio
wakushikie
uchumi
Mwafrika
hii
haikuingii
nikichana
Unanuka
sana
kiasi
hauvutii
kama
jana
Kiburi
moyoni
haisikii
unapokanywa
Unatia
aibu.kiukweli
sijivunii
kuwa
mwana
Na
bado
unaamini
shahada
ya
shule
ni
zana
Haujui
ukitaka
ule
ni
shamba
Unafunga
ubongo
unafungua
mikono
ili
wakupe
msaada
Umesahau
kuwa
vya
bure
gharama
Mchezo
wako
sheria
zao
utashindwa
Ukiishi
porini
kama
haiwindi
utawindwa
Inasikitisha
wenzako
wanaigiza
ili
waishi
Ila
we
unaishi
kwa
kuigiza
sio
Umekuwa
dekio,
umekubali
kuwa
soko
la
pombe
Na
sigara
Soko
la
risasi
bunduki
na
mabomu
Soko
la
madawa
ya
kulevya
yanauwa
waafrika
wenzio
Soko
la
dini
zao
soko
la
picha
za
uchi
Soko
la
vitu
kukuziba
sauti
Soko
la
sera
onevu
na
mifumo
gombanishi
Magonjwa
batiri
unanunua
dawa
kwa
kuhisi
sio?
Umezagaa
visingizio
Haujui
akiba
ndio
maana
unashangaa
salio
Umegeuzwa
kifaa
cha
majaribio
Imeandikwa
asiyeandaa
silaha
ataandaa
mapambio
Mwafrika
Nakupa
nahau
kalili
Afrika
inakufa
mwafrika
unadharau
dalili
Unasahau
wito
unafata
mkumbo
kwa
dau
batili
Unakumbuka
kila
kitu
na
unasahau
asili
1 The Lost One
2 Kikaoni
3 Nobody Is Safe 3
4 Nobody Is Safe 2
5 Hatia
6 Hatia II
7 Hatia III
8 Kanisa
9 Fallen Angel
10 Siku Mbaya
11 Tega Sikio
12 Maswali
13 Sister
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.