paroles de chanson Kikaoni - Dizasta Vina
Najivunia
kulala
na
mkeo
Nimevumilia
sana
na
leo
Nimeamua
kusema
sijali
ka'
utanikaba
koromeo
Utanivunja
na
kuniacha
kimeo
Kamwe
sijutii
katu
Sijutii
katu
Piga
kelele
jaza
umati
sihofii
watu
Nimekubuhu
mpaka
inafika
hatua
Nimefanya
mtaa
mzima
wanajua
Nasifikirii
ni
rafu
Kwa
mitindo
zaidi
ya
saba
Na
maumbile
nimejariwa
si
haba
Nilimpa
raha
kote
kwenye
gari
na
valanda
Kama
mfungwa
aliyekutana
na
kahaba
Ona
mrume
ndago
bila
kiwewe
Kila
uliposafiri
mi
nilipiga
misele
Aliponiita
niliitika
kuzizima
kelele
Na
nilipofika
nilihakikisha
anafika
kilele
Alinipeleka
mbali
kwa
misemo
motomoto
Hadithi
njoo
utamu
kolea
Ukihisi
naongeza
chumvi
kwa
maneno
ya
uwongo
Ona
alama
ya
meno
kwenye
mgongo
alafu
ngojea
Ni
hakika
alinikumbuka
kila
mida
Na
aliponihitaji
niliibuka
bila
shida
Alipopata
swali
aliniona
mimi
kwanza
Akajiita
Jenny
nikajiita
Tarzan
believe
that?
Alifika
alikaza
na
kamba
Aliweka
mizizi
ya
kukata
na
panga
Alichizika
utasema
mwehu
Moyoni
aliacha
alama
ka
Ronaldo
alivyoacha
alama
bernabeu
Nilikuwa
siufahamu
ugoni
Ah
Kama
kufumaniwa
ni
dhambi
na
nitapata
adhabu
motoni
Nitaenda
na
tabasamu
usoni
Labda
wakati
ni
sasa
nimerudi
kuenzi
nafasi
Napenda
uhakika
silengi
bahati
Naomba
ujue
kuwa
mkeo
mkeo
hakupendi
kwa
dhati
Kumlazimisha
ni
kumuezi
hayati
Sasa
kwanini
usinipige
na
ulivyojifugia
misuli
Nivunje
mbavu
zangu
labda
utajisikia
vizuri
Fanya
maamuzi
sasa
maana
najitia
kiburi
Niue
leo
walimwengu
watafukia
kaburi
Najisikia
uchovu
na
mihayo
napiga
Uliza
hizi
nyayo
na
nyika
Nimetoka
mbali
fanya
maamuzi
tuhitimishe
kikao
Maana
hata
mimi
nina
mishe
kibao
Mishe
hata
wewe
unazo
mishe
unazobadili
Fafanua
eleza
na
uweke
mifano
isawiri
Huo
ubishi
kujikweza
weka
kando
ukatili
Leo
ndio
mwisho
vinavunja
ndoa
yako
batili
Andika
talaka
ili
tuondoke
Maana
maamuzi
ni
yako
au
chukua
panga
unichome
Haukuitendea
haki
kura
yako
Kuchagua
ndoa
wakati
sio
jambo
kubwa
kwako
Utakapo
chukua
wasaa
utagundua
ulimpa
saa
alipohitaji
muda
wako
Anajua
kuwa
mkoa
wa
mbali
una
watoto
Anajua
kuhusu
vikao
na
safari
za
uongo
Anajua
kuhusu
kondomu
ulizobana
kwenye
nguo
Na
meseje
za
wasichana
wa
chuo.
Ulimkuta
mwema
ukamteka
kiakili
Ukamshawishi
mpaka
akakupa
shehena
ya
mwili
Akakupa
moyo
akihisi
utaweka
nadhiri
Ukajisahau
na
kumwonesha
asili
Ya
kwamba
wewe
ni
mchafu
tu
Kipi
unalopoka
lakini?
Ubaya
ulipokuwa
ubaya
unachokonda
ni
nini?
Mmoja
amatupa
mwingine
ameokata
yamkini
Aliyetupa
ni
wewe
na
aliyeokota
ni
mimi.
ah!!
Ilikuwa
sababu
ya
msongo
wa
mawazo
Ndio
maana
uliona
wife
sio
wa
moto
kama
mwanzo
Aliteseka
kiasi
alihisi
ndoa
ni
sumu
Na
nikachukua
maamuzi
magumu
Dongo
kwako
Nilimwokoa
na
nikamvusha
bahari
Maana
muugwana
vitendo
maneno
hayataangusha
jabali
Siku
mwili
hautagusa
sayari
Utamkumbuka
na
pengine
utajifunza
kujali
Mpunga
umeyumba
umeanza
kujishuku
mzee
Umerudi
nyumbani
baada
ya
kushindwa
kumudu
starehe
Haukuwepo
Kwenye
shida
ilipofuzu
tarehe
Ulikimbia
na
nilikuepo
mimi
pekee
Ngoja
nikuudhi
unajua
mwanao
ananiita
daddy
Nampeleka
shule
namrudisha
nyumbani
baada
ya
kazi
Nalipa
ada,
ada
usizokumbuka
kutoa
Mwanao
amefikia
barehe
na
nimemfunza
kunyoa
Nimemfunza
ushahiri
nimefumfunza
kufanya
mahesabu
Nimemfunza
kufunga
tai
kisha
kamba
za
viatu
Nimemfunza
sheria
zinazoongelewa
bungeni
Na
nilienda
kumtetea
alipoonewa
shuleni
Unahoja
yoyote
defensively
Maana
haujui
kama
wanalala
na
kuamka
safely
Haujui
kuhusu
family
dinner
Woman'
s
day,
birthday
zao
haujui
hata
anniversary
Haujui
maumivu
aliyoyapata
moyoni
Haujui
harufu
ya
chakula
alichopasha
jikoni
Haujui
kuhusu
depression
Maana
mara
mbili
nimemkuta
amejifunga
kamba
shingoni
Nampenda
yeye
amenifanya
nipate
ishara
Amenipa
counselling
amenifanya
niache
sigara
Anajua
chakula
nipendacho
timu
niipendayo
Kinywaji
anajua
even
my
favorite
Colour
Wenzio
tunatafuta
familia
ili
tujenge
wewe
yako
ni
lini?
Mkeo
amesaliti
ndoa
sababu
yake
ni
upweke
sababu
yako
ni
nini?
You
know
what
they
say...
what
goes
around
comes
around
man
Yeah
thus
true...
so
i
wonder
why
you
changed
you
use
to
be
a
good
man
What
happened
to
you?
Nakiri
mbele
za
watu
nilishiriki
hii
dhambi
Uvungu
wa
moyo
wangu
unasema
usaliti
ni
haki
Nyajua
kisu
chako
uniue
ila
naomba
uelewe
Sijavunja
ndoa
yako
umeivunja
ndoa
yako
mwenyewe
Aah
1 The Lost One
2 Kikaoni
3 Nobody Is Safe 3
4 Nobody Is Safe 2
5 Hatia
6 Hatia II
7 Hatia III
8 Kanisa
9 Fallen Angel
10 Siku Mbaya
11 Tega Sikio
12 Maswali
13 Sister
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.