Paroles et traduction Dizasta Vina - Kikaoni
Добавлять перевод могут только зарегистрированные пользователи.
Najivunia
kulala
na
mkeo
I'm
proud
to
sleep
with
your
wife.
Nimevumilia
sana
na
leo
I've
endured
enough,
and
today
Nimeamua
kusema
sijali
ka'
utanikaba
koromeo
I've
decided
to
speak,
I
don't
care
if
you
choke
me,
Utanivunja
na
kuniacha
kimeo
You'll
break
me
and
leave
me
crippled,
Kamwe
sijutii
katu
I
don't
regret
it,
not
at
all.
Sijutii
katu
I
don't
regret
it,
not
at
all.
Piga
kelele
jaza
umati
sihofii
watu
Scream,
gather
a
crowd,
I
don't
fear
people.
Nimekubuhu
mpaka
inafika
hatua
I'm
so
good
that
it's
gotten
to
the
point
Nimefanya
mtaa
mzima
wanajua
I've
made
it
known
to
the
whole
neighborhood.
Nasifikirii
ni
rafu
I
don't
think
it's
a
foul.
Kwa
mitindo
zaidi
ya
saba
In
more
than
seven
styles,
Na
maumbile
nimejariwa
si
haba
And
I've
explored
her
body
countless
times,
Nilimpa
raha
kote
kwenye
gari
na
valanda
I
gave
her
pleasure
everywhere,
in
the
car
and
on
the
veranda,
Kama
mfungwa
aliyekutana
na
kahaba
Like
a
prisoner
who's
met
a
prostitute.
Ona
mrume
ndago
bila
kiwewe
Look
at
the
spear
without
fear,
Kila
uliposafiri
mi
nilipiga
misele
Every
time
you
traveled,
I
made
my
moves,
Aliponiita
niliitika
kuzizima
kelele
When
she
called,
I
responded
to
silence
her
cries,
Na
nilipofika
nilihakikisha
anafika
kilele
And
when
I
arrived,
I
made
sure
she
reached
her
peak,
Alinipeleka
mbali
kwa
misemo
motomoto
She
took
me
far
with
her
hot
moves.
Hadithi
njoo
utamu
kolea
Come
closer
and
hear
the
story,
Ukihisi
naongeza
chumvi
kwa
maneno
ya
uwongo
If
you
think
I'm
exaggerating
with
lies,
Ona
alama
ya
meno
kwenye
mgongo
alafu
ngojea
Look
at
the
bite
mark
on
her
back
and
wait.
Ni
hakika
alinikumbuka
kila
mida
She
definitely
thought
of
me
all
the
time,
Na
aliponihitaji
niliibuka
bila
shida
And
when
she
needed
me,
I
appeared
without
a
fuss,
Alipopata
swali
aliniona
mimi
kwanza
When
she
had
a
question,
I
was
the
first
one
she
thought
of,
Akajiita
Jenny
nikajiita
Tarzan
believe
that?
She
called
herself
Jenny,
I
called
myself
Tarzan,
believe
that?
Alifika
alikaza
na
kamba
She
arrived
and
tightened
her
grip,
Aliweka
mizizi
ya
kukata
na
panga
She
put
down
roots
to
be
cut
with
a
machete,
Alichizika
utasema
mwehu
She
dug
deep,
you'd
think
she
was
a
mole,
Moyoni
aliacha
alama
ka
Ronaldo
alivyoacha
alama
bernabeu
In
her
heart,
she
left
a
mark
like
Ronaldo
left
his
mark
on
Bernabeu.
Nilikuwa
siufahamu
ugoni
I
didn't
understand
infidelity,
Kama
kufumaniwa
ni
dhambi
na
nitapata
adhabu
motoni
If
being
caught
cheating
is
a
sin
and
I'll
be
punished
in
hell,
Nitaenda
na
tabasamu
usoni
I'll
go
with
a
smile
on
my
face.
Labda
wakati
ni
sasa
nimerudi
kuenzi
nafasi
Maybe
now
is
the
time,
I'm
back
to
claim
my
place,
Napenda
uhakika
silengi
bahati
I
like
certainty,
I
don't
rely
on
luck,
Naomba
ujue
kuwa
mkeo
mkeo
hakupendi
kwa
dhati
I
want
you
to
know
that
your
wife,
your
wife,
doesn't
really
love
you,
Kumlazimisha
ni
kumuezi
hayati
Forcing
her
is
like
forcing
the
deceased.
Sasa
kwanini
usinipige
na
ulivyojifugia
misuli
Now
why
don't
you
hit
me
with
all
the
muscles
you've
built
up,
Nivunje
mbavu
zangu
labda
utajisikia
vizuri
Break
my
ribs,
maybe
you'll
feel
better,
Fanya
maamuzi
sasa
maana
najitia
kiburi
Make
a
decision
now,
because
I'm
being
arrogant,
Niue
leo
walimwengu
watafukia
kaburi
Kill
me
today,
the
world
will
bury
me.
Najisikia
uchovu
na
mihayo
napiga
I'm
tired
of
these
struggles
I'm
going
through,
Uliza
hizi
nyayo
na
nyika
Ask
these
feet
and
the
wilderness,
Nimetoka
mbali
fanya
maamuzi
tuhitimishe
kikao
I've
come
a
long
way,
let's
make
a
decision
and
conclude
this
meeting,
Maana
hata
mimi
nina
mishe
kibao
Because
even
I
have
a
lot
going
on.
Mishe
hata
wewe
unazo
mishe
unazobadili
Even
you
have
things
you'll
have
to
change,
Fafanua
eleza
na
uweke
mifano
isawiri
Explain,
elaborate
and
give
illustrative
examples,
Huo
ubishi
kujikweza
weka
kando
ukatili
Put
aside
your
arrogance
and
cruelty,
Leo
ndio
mwisho
vinavunja
ndoa
yako
batili
Today
is
the
end,
we're
breaking
your
invalid
marriage,
Andika
talaka
ili
tuondoke
Write
a
divorce
so
we
can
leave.
Maana
maamuzi
ni
yako
au
chukua
panga
unichome
Because
the
decision
is
yours,
or
take
a
machete
and
stab
me,
Haukuitendea
haki
kura
yako
You
didn't
do
your
vote
justice,
Kuchagua
ndoa
wakati
sio
jambo
kubwa
kwako
Choosing
marriage
when
it's
not
a
big
deal
to
you,
Utakapo
chukua
wasaa
utagundua
ulimpa
saa
alipohitaji
muda
wako
When
you
take
your
time,
you'll
realize
you
gave
her
an
hour
when
she
needed
your
time.
Anajua
kuwa
mkoa
wa
mbali
una
watoto
She
knows
that
you
have
children
in
a
faraway
region,
Anajua
kuhusu
vikao
na
safari
za
uongo
She
knows
about
your
fake
meetings
and
trips,
Anajua
kuhusu
kondomu
ulizobana
kwenye
nguo
She
knows
about
the
condoms
you
stuffed
in
your
clothes,
Na
meseje
za
wasichana
wa
chuo.
And
the
messages
from
your
college
girlfriends.
Ulimkuta
mwema
ukamteka
kiakili
You
met
her
innocent
and
captured
her
mind,
Ukamshawishi
mpaka
akakupa
shehena
ya
mwili
You
persuaded
her
until
she
gave
you
her
body,
Akakupa
moyo
akihisi
utaweka
nadhiri
She
gave
you
her
heart
thinking
you
would
make
a
vow,
Ukajisahau
na
kumwonesha
asili
You
forgot
yourself
and
showed
her
your
true
nature,
Ya
kwamba
wewe
ni
mchafu
tu
That
you're
just
a
filthy
man.
Kipi
unalopoka
lakini?
What
are
you
complaining
about?
Ubaya
ulipokuwa
ubaya
unachokonda
ni
nini?
When
bad
was
bad,
what
did
you
like?
Mmoja
amatupa
mwingine
ameokata
yamkini
One
throws
away,
another
picks
up,
maybe,
Aliyetupa
ni
wewe
na
aliyeokota
ni
mimi.
ah!!
The
one
who
threw
away
is
you,
and
the
one
who
picked
up
is
me.
Ah!!
Ilikuwa
sababu
ya
msongo
wa
mawazo
It
was
because
of
stress,
Ndio
maana
uliona
wife
sio
wa
moto
kama
mwanzo
That's
why
you
saw
your
wife
wasn't
as
hot
as
she
used
to
be,
Aliteseka
kiasi
alihisi
ndoa
ni
sumu
She
suffered
so
much,
she
felt
marriage
was
poison,
Na
nikachukua
maamuzi
magumu
And
I
made
a
difficult
decision,
Dongo
kwako
Shame
on
you.
Nilimwokoa
na
nikamvusha
bahari
I
rescued
her
and
took
her
across
the
sea,
Maana
muugwana
vitendo
maneno
hayataangusha
jabali
Because
a
gentleman's
actions
speak
louder
than
words,
Siku
mwili
hautagusa
sayari
The
day
your
body
won't
touch
the
earth,
Utamkumbuka
na
pengine
utajifunza
kujali
You'll
remember
her
and
maybe
you'll
learn
to
care.
Mpunga
umeyumba
umeanza
kujishuku
mzee
Your
money's
gone,
you've
started
to
doubt
yourself,
old
man,
Umerudi
nyumbani
baada
ya
kushindwa
kumudu
starehe
You're
back
home
after
failing
to
afford
the
pleasures,
Haukuwepo
Kwenye
shida
ilipofuzu
tarehe
You
weren't
there
when
things
were
tough,
when
the
date
came
due,
Ulikimbia
na
nilikuepo
mimi
pekee
You
ran
away
and
I
was
the
only
one
there
for
her.
Ngoja
nikuudhi
unajua
mwanao
ananiita
daddy
Let
me
annoy
you,
you
know
your
son
calls
me
daddy,
Nampeleka
shule
namrudisha
nyumbani
baada
ya
kazi
I
take
him
to
school,
I
bring
him
back
home
after
work,
Nalipa
ada,
ada
usizokumbuka
kutoa
I
pay
his
school
fees,
the
fees
you
don't
remember
to
pay,
Mwanao
amefikia
barehe
na
nimemfunza
kunyoa
Your
son
has
reached
puberty
and
I've
taught
him
how
to
shave,
Nimemfunza
ushahiri
nimefumfunza
kufanya
mahesabu
I've
taught
him
poetry,
I've
taught
him
how
to
do
math,
Nimemfunza
kufunga
tai
kisha
kamba
za
viatu
I've
taught
him
how
to
tie
a
tie
and
shoelaces,
Nimemfunza
sheria
zinazoongelewa
bungeni
I've
taught
him
the
laws
that
are
spoken
in
parliament,
Na
nilienda
kumtetea
alipoonewa
shuleni
And
I
went
to
defend
him
when
he
was
bullied
at
school.
Unahoja
yoyote
defensively
You're
on
the
defensive,
Maana
haujui
kama
wanalala
na
kuamka
safely
Because
you
don't
know
if
they
sleep
and
wake
up
safely,
Haujui
kuhusu
family
dinner
You
don't
know
about
family
dinners,
Woman'
s
day,
birthday
zao
haujui
hata
anniversary
Woman's
Day,
their
birthdays,
you
don't
even
know
your
anniversary.
Haujui
maumivu
aliyoyapata
moyoni
You
don't
know
the
pain
she
felt
in
her
heart,
Haujui
harufu
ya
chakula
alichopasha
jikoni
You
don't
know
the
smell
of
the
food
she
warmed
up
in
the
kitchen,
Haujui
kuhusu
depression
You
don't
know
about
depression,
Maana
mara
mbili
nimemkuta
amejifunga
kamba
shingoni
Because
twice
I
found
her
trying
to
hang
herself.
Nampenda
yeye
amenifanya
nipate
ishara
I
love
her,
she
made
me
see
the
light,
Amenipa
counselling
amenifanya
niache
sigara
She
gave
me
counseling,
she
made
me
quit
smoking,
Anajua
chakula
nipendacho
timu
niipendayo
She
knows
my
favorite
food,
my
favorite
team,
Kinywaji
anajua
even
my
favorite
Colour
She
knows
my
favorite
drink,
even
my
favorite
color.
Wenzio
tunatafuta
familia
ili
tujenge
wewe
yako
ni
lini?
We're
looking
for
families
to
build,
when
will
yours
be?
Mkeo
amesaliti
ndoa
sababu
yake
ni
upweke
sababu
yako
ni
nini?
Your
wife
cheated
because
she
was
lonely,
what's
your
excuse?
You
know
what
they
say...
what
goes
around
comes
around
man
You
know
what
they
say...
what
goes
around
comes
around
man
Yeah
thus
true...
so
i
wonder
why
you
changed
you
use
to
be
a
good
man
Yeah
thus
true...
so
i
wonder
why
you
changed
you
use
to
be
a
good
man
What
happened
to
you?
What
happened
to
you?
Nakiri
mbele
za
watu
nilishiriki
hii
dhambi
I
confess
before
everyone,
I
participated
in
this
sin,
Uvungu
wa
moyo
wangu
unasema
usaliti
ni
haki
The
pain
in
my
heart
says
betrayal
is
justice,
Nyajua
kisu
chako
uniue
ila
naomba
uelewe
Take
your
knife
and
kill
me,
but
please
understand,
Sijavunja
ndoa
yako
umeivunja
ndoa
yako
mwenyewe
I
didn't
break
your
marriage,
you
broke
your
own
marriage.
Évaluez la traduction
Seuls les utilisateurs enregistrés peuvent évaluer les traductions.
Writer(s): Edger Vicent Mwaipeta
Album
Jesusta
date de sortie
15-07-2021
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.