paroles de chanson Handsome - Dully Sykes
Oh
oh
oh...!
Salome
juu
ya
kaburi
lako
nalia
aaa!
Kilio
nakisikia,
dakika
za
mwisho
Mpenzi
wangu
najutiaa
kosa
nilokufanyiaa
Siku
ya
kwanza
nilikutana
na
wewe
Akili
iliruka
na
kupata
kiwewe
Sikuamini
kama
ningekutana
na
wewe
Hilo
la
kwanza
naomba
unielewe
Nikakutongoza
ukanikubalia
Ulijipa
moyo
tena
mia
kwa
mia
Umekwishapata
bwana
atakayekuoa
Kumbe
nilikuona
kama
demu
wa
kuzugiaa
Miezi
saba
mbele
iliendelea
Na
mapenzi
kwako
wee
yakapungua
Kumbe
ulikuwa
na
mimba
ya
kujifungua
Miezi
yote
hiyo
wala
hukuniambia
Ulijua
lazima
nitaisaigia
Na
ndio
ndoto
yangu
hiyo
ilikuwa
Na
ulipojaribu
mimi
kuniambia
Katukatu
nami
nikakutalia
Salome
mpenzi
wangu
ukaanza
kulia
Kwa
uoga
wangu
mimi
nikakuambia
Tuonane
siku
inayofuatia
Kwa
unyonge
Salome
ukaitikia
Salome
juu
ya
kaburi
lako
nalia
aaa!
Kilio
nakisikia,
dakika
za
mwisho
Mpenzi
wangu
najutiaa
kosa
nilokufanyiaa
Siku
ya
pili
tena
ilipofikia
Asubuhi
mapema
ni-nikakimbia
Nikakimbia
kuelekea
Mbeya
Huku
nyuma
Salome
uliningojea
Saa
dakika,
sekunde
zilipotokea
Ulichoka
mpenzi
kwa
kuningojea
Ikabidi
uje
kuniulizia
Nyumbani
wakesema
Dully
ameshakimbia
Salome
mpenzi
wangu
ulinyong′onyea
Hazikupita
dakikaa
ukazimia
Ndoo
za
maji
tatu
wakakumwagia
Ndipo
hapo
fahamu
zikakurudia
Ulilia
mwishowe
mpaka
kujutia
Ulijuta
kwa
nini
ulikunikubalia
Ulirudi
nyumbani
kwenu
unalia
Hadi
chumbani
kwako
ukajifungia
Salome
mpenzi
wangu
ukaandika
barua
"Msifunge
Dully
mimi
najiua"
Dakika
tano
mbele
zilipowadia
Polepole
kitanzi
ukajifungia
Ukajinyonga
na
kuiaga
dunia
Nisamehe
Salome
leo
najutia
Ukajinyonga
na
kuiaga
dunia
Nisameheee
Salome
leo
najutia
Salome
juu
ya
kaburi
lako
nalia
aaa!
Kilio
nakisikia,
dakika
za
mwisho
Mpenzi
wangu
najutiaa
kosa
nilokufanyiaa
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.