Gloria Muliro - Sitolia paroles de chanson

paroles de chanson Sitolia - Gloria Muliro



Fahamu anakupenda sana
Nayo salvation yako haitadunda
Ye msela, sina hela, Alikupenda bila hela
Amekuwa akinihanda, amekuwa akinitesa mimi
Sababu mimi (?), na sina hela
Miye fukara, just imagine
Bado nafsi yangu, ni kwako wewe
Kuokoka kwangu, ni kwako wewe
Ni kwako, ni kwako; Ni kwako, ni wewe
Oh Sitolia mimi, Nafahamu uko na mimi jalali
Iye sitolia mimi, Nafahamu upo na mimi maulana
Ni kweli usilie mwenzio, Maulana yuko na wewe akujali
Kiganjani mwake amekuweka, hautabanduka
Ni kweli uko mbali na mimi, Uko mbali na uga wangu
Lakini msela mimi huyu, Sitolia kamwe
Mwana we, mwana; nakwambia tulia
Mwana we, mwana; si vema kulia
Mola anakuangalia, anakufikiria
Atakuangazia
Mateso ni ya muda tu, mtihani utaupita tu
Hata usiku uwe mrefu ndugu, kutapambazuka
Ni heri ni mtazamie yeye, mtazamie maulana
Ni heri ni mkimbiliye yeye, mkimbilie mola
Ni heri ni nimtumainie yeye, mtumaini mola



Writer(s): Gloria Muliro


Gloria Muliro - Sitolia
Album Sitolia
date de sortie
07-05-2018




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.