Harmonize - Sina paroles de chanson

paroles de chanson Sina - Harmonize



Wasafi
Ayo, Lizer
Mh, Mh
Ujana ni maji ya moto
Yashaniunguza mi nataketea
Niliwakana watoto wangeniuguza sikutegemea
Na kama dunia tambala langu lishatoboka
Sina hata pa kulala nakesha kwa Kimboka
Wale marafiki niliokula nao
Na kunisifu sasa siwaoni
Eti sina kiki siendani nao
Kwa kuwa sina kitu mfukoni
Kama pesa nilipata nikadharau hadi wazazi
Nikakesha kula bata najisahau
Na kumwaga radhi
Kunifahidhi
Oh sina (oh yani sina)
Oh sina (wakunipa imani)
Oh sina (oh sina mama)
Oh sina (yeiyeh)
Oh sina (hata wa kunifariji)
Oh sina (kunipa moyo niendelee)
Oh sina (ooh sina mama)
Oh sina (oh yeah)
Hmm
Asiyefunzwa na mama hufunzwa na dunia, misemo ya wahenga
Family ndugu lawama
Sikutaka karibia
Kwangu nipojenga
Ponda mali eti kufa kwaja, hehehee
Kumbe nivukako mbali navunja daraja
Jua likizama
Nafsi nanyongea mawazo
Nani nimpe lawama
Peke yangu naongea Hamnazo
Kama pesa nilipata nikadharau
Hadi wazazi
Nikakesha kula bata najisahau
Nakumwaga radhi
Kunifahidhi
Oh sina (oh yani sina)
Oh sina ye (wa kunipa imani)
Oh sina (oh sina mama)
Oh sina (yeiye)
Oh sina (hata wa kunifariji)
Oh sina ye (kunipa moyo niendelee)
Oh sina (oh sina mama)
Oh sina (oh yeah)
Pesa pesa
Pesa pe-
Pesa pesa
Pesa pe-
Pesa pesa (pesa mfano wa puto zinapepea starehe ndo sindano)
Pesa pe- (Chunga yasije majuto tena tegea igeni mifano)




Harmonize - Sina
Album Sina
date de sortie
27-07-2017

1 Sina




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.