Isha Mashauzi - Mama Nipe Radhi paroles de chanson

paroles de chanson Mama Nipe Radhi - Isha Mashauzi



Oooh. katika hii dunia utapambana na mengi
Muhimu kuvumilia ndio jambo la msingi
Ukipata radhi maishani utajongewa
Ukimdharau mzazi mwishowe huaribikiwa
Wazuri na wabaya wote wamo duniani, wajawa na roho mbaya
Wamesahau isanii.
Mama nipe radhi niipe radhi kuishi na watu kweli kazi
Mama nipe usia niipe husia univae katika dunia---
Binaadamu wenzangu wananichukia aaa
Sina ubaya moyoni mwangu mungu ananishuhudia ooh
Mama nipe radhi binadamu hawana wema, kila nifanyacho hawaachi kunisema
Wananiombea mabaya japo kwa mungu hatakiiii.
Aaah mwanangu uu, hiyo ndiyo dunia aa
Yaliyo moyoni mwangu leo nakuhusia aa
Huu ukubwa wangu uu, mengi nayavumilia aaa
Napiga konde moyo wangu uu najua hii ndo dunia aa
Kuishi na watu kazi, wale usiowajua, unahitaji ujuzi, mwanangu kuwatambua



Writer(s): Isha Ramadhani


Isha Mashauzi - Bonge La Bwana
Album Bonge La Bwana
date de sortie
17-04-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.