paroles de chanson Vimba - Isha Mashauzi
Wahenga
walisema
penzi
la
mea
penye
penzi
tuendelee
kupendana
japo
Wapo
wanaoumia
sasa
naiona
sasa
naiona
thamani
ya
mapenzi
kwako
mimi
Kwako
nimedidimia
penzi
letu
tulienzi
hata
kwa
ugali
na
bamia
Tubembelezane
kwa
tamu
tenzi
hata
tunapoikosa
mia
vimba
Mpenzi
vimba
jidai
mpenzi
vimba
aanh
tamba
mpenzi
vimbaaaaaa
vimba.
Vimba
mpenzi
wangu
enh
vimba
jidai
baby
wangu
vimba
tamba
mpenzi
Wangu
wee
vimbaaaa
vimba
wapo
wanaokejeli
chaguo
langu
mamaaaaa
Ukitazama
walipo
wao
ni
vituko
furaha
furaha
imetawala
kwangu
wao
Kila
siku
misukosuko
wanajijaza
masusu
kwa
mambo
yasowahusu
tuzipuuze
Zao
figisu
vikwazo
tusiruhusu
vimba
mpenzi
vimba
jidai
mpenzi
vimba
Anh
tamba
mpenzi
vimbaaaa
vimba
vimba
mpenzi
wangu
eeh
vimba
Jidai
baby
wangu
enh
vimba
tamba
mpenzi
wangu
enh
vimbaaaaa
vimba.
Tupendane
kwa
hali
na
mali
babaaaa
tusiwe
kama
maneke
na
mandawaaaaa
Yeeeee
maadui
wapambane
na
zao
hali
sie
malavidavi
malavidavi
kama
Kawa
anhh
subira
huleta
kilichombali
kipendacho
moyoni
dawa
eeeeeee
Mwaiona
eee
mwaionaa
bendera
yetu
yapepeaaa
mwaiona
Safar
yetu
yaendelea
mwaiona
chuki
zao
twazipotezea
mwaiona
Vimba
mpenzi
vimba
jidai
mpenzi
vimba
tamba
mpenzi
vimba
vimba
Mpenzi
wangu
vimba
jidai
baby
wangu
Vimba
tamba
mpenzi
wangu
vimbaaaa
vimba
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.