Izzo Bizness feat. Shaâ - Kidawa paroles de chanson

paroles de chanson Kidawa - Shaa , Izzo Bizness



Mama aliniita Kidawa
Kweli kwako nimekuwa dawa
Umwa nikuponyeshe laziz
Umwa nikuuguze mpenzi
Wewe kwangu kama Champaign
Kwenye sherehe nikufungue wewe
Karibu kwangu kama mke
Ukae kwenye pango moyoni
Yoh kwako nimefika
Mwingine me sitaki mama
Marengo yangu kuwa nawe
Mi nasema
Niko tayari kujifunza ma
Sitaki fail na
Haijalishi me wa kwanza
Si tufike mbali
Juu ya vikwazo kwenye penzi
Tulale na njaa labda mipango ya mwenyezi
Me ndo ntakuwa makini
Juu ya penzi lako
Ntapigana kuhakikisha
Naitumza hadhi yako



Writer(s): Izzo Bizness


Izzo Bizness feat. Shaâ - Haina Kufeli
Album Haina Kufeli
date de sortie
06-10-2015



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.