Izzo Bizness - Love Me paroles de chanson

paroles de chanson Love Me - Izzo Bizness

Here they talk, let 'em talk girl
Now what they talk?
Here they talk, let 'em talk girl
Now what they talk?
Here they talk, let 'em talk girl
Now what they talk?
Here they talk, let 'em talk girl
Ah haa
Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don't judge me (don't judge baby, don't judge baby eh)
Baby love me (I love you baby, I love ya!)
Mapenzi hatujaanza juzi, long time niko nawe
Naomba radhi nikikuudhi, nahisi nimeumbwa na wewe
We barafu wa moyo wangu, acha leo niweke wazi
Labda shahidi yangu Mungu, nikiwatoa wazazi
Nakumbuka toka shule, enzi za sekondari
Baby ulikuwa pale, we ulionyesha kunijali
You're the one in a million, naapa kwa jina langu
Ah Jose Chameleone, 'Sina var
Luvalu baby'
Tangu Izzo naitwa Imma, we ulikuepo ulisimama
Matatizo yalituandama, we hukuchoka ulipambana
We ndo maana ya mapenzi, mapenzi yanakuogopa
Hawa vicheche ni washenzi, hawajui wanachotaka
Ntakujali na kukuheshimu, acha woga mi bwana ako
Ya kwetu jukumu letu, hayawahusu shoga zako
We ndo Alicia, mi ndo Swizz, tupa mbali Jay Z, Beyonce
Shaa ndo keys, MJ beats, anayebisha shauri yake
Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don't judge me (don't judge baby, don't judge baby eh)
Baby love me (I love you baby, I love ya!)
Kama ku-cheat, nisha-cheat sikufichi honey
Nisamehe yo my sweet honey, ni pepo sio mi
Ruksa kamba we nifunge, nishatua hapa
We ni jimbo nami mbunge, nishatua hapa
Mapenzi moto moto mpaka joto linaona wivu
Nikuite nani, ama mtoto? Leo baby naomba kavu
We mtamu kushinda asali, hakyamungu utaniua
Acha waseme mi sijali, haki ya Mungu utaniuaa
Acha basi nikusifie, sifa ulizonazo
Ila baby usijisikie, ikawa kama chanzo
Guu lako sio la bia, baby guu la champagne
Leo wazi nakuambia, hey you got that thing
Midomo wet sio mikavu, ona wanaona wivu
Umejazika si sana, maana sana inaboa
Hasa kwa sisi waungwana, sana inaboa
Macho na hizo hips ndo nakufa kabisa
Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don't judge me (don't judge baby, don't judge baby eh)
Baby love me (I love you baby, I love ya!)
(I love ya)
I love you baby, I love ya
(I love ya)
I love you baby, I love ya
(I love ya)
I love you baby (baby), I love ya
(I love ya)
Ah ah I love ya (I love ya)
I love you baby, I love ya
(I love ya)
I love you baby, I love ya
(I love ya)
I love you baby (baby), I love ya
(I love ya)
Ah ah I loving ya
Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza
Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota
Please don't judge me (don't judge baby, don't judge baby eh)
Baby love me (I love you baby, I love ya!)
Yeah!
Hii special kwako baby, au sio?
You're the one and only
Yo miss Bizz. miss Bizness, baby
Hahah
I love you, baby aah

Izzo Bizness - Haina Kufeli
Album Haina Kufeli
date de sortie
06-10-2015

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.