Khaligraph Jones - Tuma kitu paroles de chanson

paroles de chanson Tuma kitu - Khaligraph Jones



Kwa mbosho nina rwabe mbele nyuma (Sina Pesa)
Na bado inafaa nifike Ronga
(Woouh)
Niko Railways buda nimenuna
(Achana na Mimi)
Najaribu kuskiza madonda
(Niaje?)
Mresh keja amedai hataki skuma (Iyeee!)
Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda)
Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma)
Niwekee kwa hii namba buda boss
(1,2, 3)
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Usisahau ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Usisahau na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Gathee tuma kitu
Eyoo all I do is win kama Khaled ama Usman Kamaru
Headbad but siingiangi booth na manyaru
Leo ni Rangey staki nuks za Subaru
Mi bazenga swag nawapigiaga look ya Gumbaru
Ndo nifike hapa Amen ni Mungu
Hii kitu huwanga ni tamu but again ni chungu
I remember I wanted to work for NTV
But maybe pia mimi ningechujwa kama Ken Mijungu
But mi ni rapa nawapeleka na Rieng
Na ka ni mashini mi huendesha Manyien
Yesu ni Baba sitaki mezesha jachieng
Yes bana inachuna tukiveveka na Bien
Hatujaanza juzi hii ni lugha ya zamani
Jeshi yangu ya bangi huivuta hadharani
So waambieni OG amefika
Na hii ni rhumba ya Kayole hii si rhumba ya japani
Kwa mbosho nina rwabe mbele nyuma (Sina Pesa)
Na bado inafaa nifike Ronga (Woouh)
Niko Railways buda nimenuna (Achana na Mimi)
Najaribu kuskiza madonda (Niaje?)
Mresh keja amedai hataki skuma (Iyeee!)
Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda)
Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma)
Niwekee kwa hii namba buda boss
(1,2, 3)
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Usisahau na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Gathee tuma kitu
Eyoo nina issues kadhaa
Nimefichia paparazzi rada
Na usiniite Brayo afadhali papa
Omollo toka Bondo, hapo shwari kaka
After nipate mchune ilibidi nisare fwaka
Na sijai ogopa kuwa na enemies
But after God the only thing na fear ni feminist
I hope I don't get cursed for that
Don't be surprised mkiambiwa this verse is whack
Either way niko wera siwezi choka nichekwe
Niko hapa niko kule buda mboga ni mbexse
Kakamega holly Tanasha shikwekwe
Ju ka form ina keroma then I'm always interested
Kuna deal inaivana ikijipa nitakushow
Pereka hio lugha huko we nilipe zangu doh
Hii ni language ya mabroker watakutoka ukisleki
So chorea kutoanishana ka mwenyewe huchekeshi
Bomboclat!
Kwa mbosho nina rwabe mbele nyuma (Sina Pesa)
Na bado inafaa nifike Ronga (Woouh)
Niko Railways buda nimenuna (Achana na Mimi)
Najaribu kuskiza madonda (Niaje?)
Mresh keja amedai hataki skuma (Iyeee!)
Amechoka na nguo za Gikomba (Kwenda)
Karanja kuna doh anafaa kutuma (Tuma)
Niwekee kwa hii namba buda boss
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Usisahau na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Gathee tuma kitu
"Zingri umesema wasanii wanajirombosa
Na look hakuna kitu (Nutin')
Eeh (Kujirombosa nutin)
Look wanakoroga mbili tatu
Mbili tatu alafu wanashikanisha zinakwama
Alafu wanapeleka kiatu kwa fundi
(Hahahahahahah...)
Look ya jana (Si ya leo)
Kwa hivo (Mtu asinimark na look)"
Nairobi kila mtu celebrity
Bora uko fresh na ung'are
Utajipata Obinja ka Guest wa Mkare
Na ukiwa na Ex na amekataa kumove on
You prolly the next topic on Edgar Obare
Mayweather champ crew TMT
Flex mode boy known check TMZ
This me, me know care me got keyboard
So just be up in your DM ka DNG
Beat bumba vile imefungwa utadhani Pharell
Netptune boom twaff, kitu safi marel
Nyasae achiel, mimi sikutaki Jaber
Your rapper boyfriend amebonda hakuwa Khali Kartel
Ndo ukuwe rapper Kenya lazima kudiss papa
Then ungoje uone ka mbogi itakudiscover
Weka bidii usiketi ukingojea feature
Acha kuwa desperado unajichomea picha
Niko Mayolo na Ghetto
Na am go low kwa macho
Unaeza nifollow kwa IG
Mi ni Omollo jabato
Kijana kutoka Bondo nimerest my case
But ka ni chupa imenibamba
Most def nitaichase (No)
Bado naendelea (Lea)
Bars zinateketea (Tea)
Kazi naekelea (Lea)
Nani anamezeshea (Iyeaah)
We ndo naongelea
Tracks zenyu nakojolea
Ka ni rap siachi
Ju Kenya ni mimi inategemea
(Jones Nigga)
Sina Pesa, woouh
Achana na mimi
Niaje! Iyeeah
Kwenda, Tuma
(1,2, 3)
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Na utume pia na ya kutoa
Tuma kitu, tuma kitu, tuma kitu
Manze form sio poa



Writer(s): Brian Omollo


Khaligraph Jones - Tuma kitu
Album Tuma kitu
date de sortie
29-07-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.