paroles de chanson Mungu Anaweza - Kidum
Pa
pa
pa
paaaa
pa
pa
mungu
baba
mungu
baba
babaaa
babaaa
Naimba
kwa
sauti
nkipiga
magoti
nikimsifu
mungu
wangu
Nimefahamu
kuhusu
wema
wake
Na
fadhili
zake
bwana
wa
majeshi
upendo
wake
Hauna
kifani
na
Fadhili
zake
ni
Za
kudumu
milele
Mimi
mpotevu
yaani
mwenye
dhambi
na
bwana
ameniguza
nmeona
mkono
wake
Sasa
nahisi
nipo
kifungoni
mwake
Sasa
nahisi
nina
ulinzi
dhidi
ya
shetani
Mungu
anaweza
yote
Yesu
kristo
ukweli
na
uzima
Mungu
anaweza
yote
Yesu
kristo
ukweli
na
uzima
Wengi
wanasema
kama
labda
nmekunywa
pombe
Wengine
wanashuku
kama
nimepata
wazimu
Mimi
mwenyewe
ninajua
kwa
nini
namsifu
Mimi
mwenyewe
Nimebeba
ushuhuda
wangu
kweli
nakiri
kwamba
nimeokoka
Kweli
nakiri
Kwamba
nimempokea
yesu
Mfalme
wa
maisha
yangu
kila
kitu
nasalimu
amri
Mungu
anaweza
yote
(nasurrender
baba
nasurrender
babaaaa)
Yesu
kristo
ukweli
na
uzima
(nasurrender
baba)
Mungu
anaweza
yote
Yesu
kristo
ukweli
na
uzima
Ye
ye
ye
ye
ye
ye
ye
Jiweke
mikononi
mwake
ah
mungu
anawezaaa
ye
mungu
anaweza
(mmh)
Haijalishi
yakwamba
umekaa
koinange
Street
ukabariki
mungu
anaweza
kukutoa
hapo
Haijalishi
yakwamba
umepiga
ngeta
Watu
majengo
mungu
anaweza
kukubadilisha
Tutafanya
maombi
kama
mambo
yako
Yamekuwa
ngumu
kweli
mungu
atayaweka
sawaa
Tutafanya
maombi
tukemee
magonjwa
Kwa
jina
la
yesu
uta
onakitenda
akitendaa
Tutafanya
maombi
tukemee
shetani
kwa
Jina
la
yesu
tukisema
kwambaa
tukisema
kwamba
Shetani
shindwa
shindwa
shindwa
shindwa
shindwa
shindwaa
Shetani
shindwa
shindwa
shindwa
shindwa
shindwa
shindwaa
Shetani
toka
toka
toka
toka
toka
tokaa
Shetani
toka
toka
toka
toka
toka
tokaa
Wuuhuuuhuu
Nasurrender
babaaaa
Mungu
anaweza
yote
(mungu
anawezaa
mungu
anawezaa
mungu
anawezaa)
Yesu
kristo
ukweli
na
uzima
(nasurrender
babaa)
Mungu
anaweza
yote
Yesu
kristo
ukweli
na
uzima
Mungu
anaweza
yote
Yesu
kristo
ukweli
na
uzima
Mungu
anaweza
yote
Yesu
kristo
ukweli
na
uzima
Haleluyaaah
haleluyaaah
Mungu
anawezaaaaaa
1 Enjoy
2 Hali Na Mali
3 Healing Rain
4 Ihorere
5 Kazi Ni Kazi
6 Kimbia
7 Mbingu Na Dunia
8 Mulika Mwizi
9 Mulika Mwizi- Kiswahili
10 Mungu Anaweza
11 Mve Mve Mve
12 Nipe Nguvu
13 Wewe Tu
14 Yarabick
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.