paroles de chanson Kimbia - Kidum
Kila
mmoja
wetu
amepewa
neema
kutoka
kwa
Mola
Vipaji
mbalimbali,
katupea
Muumba
na
pia
baraka
halafu
pia
kibali
Kila
kukikucha
sote
tunasema
asante
Mungu,
asante
Baba
Kukipambazuka,
sote
twaamka,
shughuli
mbalimbali,
huku
na
kule
hapa
na
pale
Majukumu
yetu
na
shughuli
zetu
na
juhudi
zetu
kwa
mkate
wa
kila
siku
Kijana,
maisha
ni
safari
inabidi
kuongeza
kasi
kwa
mbio
zako
Mwenzangu,
maisha
mapambano,
ukiwa
na
kipaji
wacha
kuzembea
Mwisho
wa
siku
weka
chakula
mezani
Kimbia,
kimbilia
jaami
yako
Kimbia,
Kimbilia
taifa
lako
Kimbia,
Kamilisha
ndoto
zako
Kimbia...
ooh,
Kimbia
Hebu
cheki,
foleni
za
magari
asubuhi
mjini
Dereva
wa
matatu
anavunja
sheria
kwa
kuoverlap
Wanariadha
kuruka
viuzi
na
maji
kupata
medali
Wanasiasa
wako
mbioni
mashinani
kuuza
sera
zao;
kupata
kura
Na
sisi
wasanii,
tunatunga
mistari
kupata
riziki
Kijana,
maisha
ni
safari
inabidi
kuongeza
kasi
kwa
mbio
zako
Mwenzangu,
maisha
mapambano,
ukiwa
na
kipaji
wacha
kuzembea
Mwisho
wa
siku
kijana
weka
chakula
kwa
table
yako
Kimbia,
kimbilia
jaami
yako
Kimbia,
tetea
ubingwa,
tetea
ubingwa
Kimbia,
Kamilisha
ndoto
zako
Kimbia...
ooh,
Kimbia
Nikiwa
mdogo
baba
yangu
kanieleza
Enda
shule
mtoto
upate
elimu
Ukiwa
na
elimu
utapata
kazi
nzuri
Akasahau
kunieleza,
ukuze
kipaji
(.Sax
playing.)
Kimbia,
kimbilia
jaami
yako
Kimbia,
kimbilia
nchi
yako
Kimbia,
Kamilisha
ndoto
zako
Kimbia,
kimbilia
jaami
yako
Kimbia,
Kamilisha
ndoto
zako
1 Enjoy
2 Hali Na Mali
3 Healing Rain
4 Ihorere
5 Kazi Ni Kazi
6 Kimbia
7 Mbingu Na Dunia
8 Mulika Mwizi
9 Mulika Mwizi- Kiswahili
10 Mungu Anaweza
11 Mve Mve Mve
12 Nipe Nguvu
13 Wewe Tu
14 Yarabick
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.